Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wanawake wa siku hizi mna bahati

Na kweli wanawake wa sasa tuna bahati, hata kama msg inasemaje, wanawake wa sasa kwanza hatujali ndoa zetu, tuna ushindani mkubwa kwa kujiona tuna haki sawa, au tunataka haki sawa, wanawake wa sasa kisa wamesoma na wana kazi basi tumekuwa wajeuri katika ndoa zetu, yani kazi tunaipa kipao mbele kuliko Mume au familia, Yani too selfish, hatutimizi wajibu wetu ipasavyo, tunafanya mambo ambayo husababisha mwanaume ajione yuko single nakufanya afanyayo halafu tunakuwa mbogo, tena afadhali hao bibi na mama zetu walikwua wanawatunza vizuri babu na baba zetu, walikwua mabab wanafanya ila kwa uchache si kama sasa sabab walikuwa wanatimiziwa wajib wao ipasavyo, (Tukiacha hao wachacche walokuwa wakiingiza mpaka ndani n.k.), kabla hujabeba bag kwenda kwenu jiulize kwanini amefanya, utakapojua tatizo ndo utajua vipi uirejeshe ndoa yako, la sivyo wanaume wote utakao kwua nao watakucheat tu, mana hujui wajibu wako kama mke, Wanawake wa sasa anakwambia kumfulia mume ni utumwa, kumuwekea chakula ni utumwa ati kisa nyote mmechoka mnafanya kazi. yani hii mada ni ndefu tukisema tunaiongelea kwa upana watu watatokwa na mapovu hapa, ila Ni hizi elimu na kazi tulokuwa nazo zinachangia san, yani hata akipewa uhuru wakufanya hizo biashara ndo kabsaa mume kasauliwa.
 
kwa maelezo hayo tu, aliekuoa kaokota 'dhahabu k/koo'
 
Kuvunja ndoa ni bahati? makubwa haya! Dunia ya leo watu wamekuwa wabinafsi sana si wanawake tu hata wanaume nashangaa kizazi hiki kinamnyoshea kidole mwanamke tu. ,
 
Wa hivi wana ndoa zinazopumulia mashine.. halafu mkiondoka baada ya miezi tu mnaanzaga kutafuta huruma ya kurudi
ha hahaha unajua unakuta huko nilikoenda kubaya zaidi afadhali ya niliyemwacha nilishaweza kucope na mazingira
 
Na hakuna kitu kibaya kama kurudia matapishi... Na mnavyojuaga kuchamba wakati wa kuondoka... Yaani mnachamba kwa wire brush hadi balaa...
 
Back
Top Bottom