Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
wanaadamu tunatofautiana sana kama vilivyo viumbe hai vingine vyovyote…maamuzi ya haraka yanategemea na sitation yenyewe,inavumilika?kuna haja ya kuendeleza huo uhusiano?hata ukivunjika kutakuwa na madhara gani?kuna watakaoathirika na maamuzi hayo?Nazungumza kutokana na uhalisia kwanini ukae uvumilie matatizo yasiosuluhishika kwa mfano?Wazazi wetu walikuwa na subira sana na uvumilivu kwasababu enzi hizo ilikuwa ukiachika ni jambo la aibu mno si kwako tu bali kwa familia nzima na vilevile wanawake walikuwa wamama wa nyumbani wakitegemea mwanaume kama mhudumu,kwa mantiki hio ukiachwa maana urudi kwenu…tukumbuke hii karne nyingine,hilo la kuachana ni cha mtoto kwasababu kuna worse case scenarios.Kama upo educated maanaake upo independent unaweza kujimudu bila hata mwanaume!mimi49 nyinyi wanawake au wasichana baadhi yao wapo wasomi ambao wapo smart na kuna baadh yao wapo ambao si smart kwa kigezo cha elim,na hawa ambao hawapo smart kinachowaangusha hawana elmi ya dini zao,hawaelew wajibu wao kwa mujibu wa miongozo ya kidini,wanawake wanaotambua wajibu wao na kutekeleza hawawez kuwa matatizo.huyu mdau aloleta uzi alichoeleza ni cha kweli,lakin me nadhan hapa ni kwa wanawake wenyewe kujipima,pia aina za wanaume huenda ikawa ni tatizo,kama msomi amekutana na mwanume valuvalu lazima atakusumbua na utalalama na kuhisi ana matatizo,vilevile wanawake wasom baadh yao hawana subira,hata yanapotokea matatizo ya kimahusiano wao hufanya rapid decision,badiliken wadada
Tukija kwenye hilo suala la mwanaume "valuvalu" inategemea na msimamo wa mwanaume…nishaona mifano tofauti ya wanaume ambao ni standard seven leavers na wanawake wenye degrees and the man plays his part quite well,wanaume wakishajiwekea ile fikra ya kujishusha kwamba mwanamke ana elimu kuliko wewe au kujiona huwezi kumiliki kiumbe huyu kutokana na ufanisi alonao,lazima utapata shida sana.Mwanaume anatakiwa ajiamini hata kama hana elimu,hio ndio sifa ya uanaume…...