Wanawake wa module pasua kichwa

Wanawake wa module pasua kichwa

Me nawapenda hao hao pasua kichwa coz akileta za kuleta unamletea mwenzake achague moja kuchinja au kunyonga!

Haaa siyo issue ukileta mwenzangu nakuzalia toto la marioo flani hivi unalea tu! Hiyo ndiyo dawa yenu wababe!
 
Mnavyojibu kwa mkato na majivuno hivi ni kama mnapigia mstari hoja ya jamaa..hasa wanawake wa kibongo..

Kweli kabisa! wanawake wakibongo versus me wa kibongo! Mtajijuu!
 
wacha woga wa maisha we mtu ... na we kubali challenge loh unataka ubabe tu
 
UMEJIKOLOGA MWENYEWE NA UTALINYWA LEO WEWE ULIFIKIRI WANAWAKE NI MAGOLIKIPA
SISI NI SUPER/ STRONG WOMAN NA HATUSHINDWI NA CHOCHOTE TUKO HIGH LEVEL NA
TUNAWATAKA HAO MABABE TUWAPE DAWA YAO MAANA WAMEZIDI Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume ni mwanaume. Wewe jiamini uone kama watakusumbua. Akileta za kuleta si unapiga chini, kitu gani.
 
ndo tumekuja sasa wewe nahisi una matatizo hakuna mwanamke msomi ambaye hayajaolewa na kufurahia ndoa yake labda kuwe na mushkeri hapo ila kwa mwanamke anayejiheshimu, mvumlivu na mstahimilivu, mwenye mapendo ya dhati lazima awe na mume sivyo unavyodhani ndugu ni MTAZAMO WAKO HASI ULIONAO

Na kwa taarifa yako wale ambao ni viongozi ni wanawake wazuri kupita kiasi ni weredi kwenye mambo yote
sasa kinachokusarandisha hapa niini kama sio huna lako jambo?

Ndo mana nlikuita...heheeeeee
 
Noo,big nooo,sio kweli kwamba wanawake wenye division 5 ni wabaya na hawawezi zaa watoto genius.
Hope umefurugwa....
Hujiamini.....
Hujitambui.....
Sio mwanaume uliyekalika....
Wanawake wazur utaishia kuwaona na kuwaita shemeji...
Watoto wako hawatakuwa wazuri kuanzia sura na akili kwa meana ya uchaguzi wako......

"The higher the risk the higher return"
 
Mmmnh... Mwanaume yeyote mwenye hoja dhaifu na asiye jiamini lazima ataogopa mwanamke msomi..!

Wee kama una hoja dhaifu na hujiamini nenda kaoe beki tatu... Baasi..!

Waache wenzio wenye hoja za ukweli na wanaojiamini waoe wasomi..!!

Very tru...
 
Back
Top Bottom