Wanawake wa module pasua kichwa

Wanawake wa module pasua kichwa

Mtoa mada unataka kuoa mke au cv yake? Tafuta mke mwema haijalishi ana degree au la acha kuogopa challenges. Unataka ukirudi nyumbani kila unachosema mtu anajibu sawa mume wangu, ndio, sawa! No questions asked... ili tu asionekane mbishi?! Una inferiority complex... jiamini!
 
Jinsi ulivyojibu kwa mkato na kwa hasira flani..bila kumpinga kwa hoja naona kama imethibitisha madai ya jamaa au..!?

You are wrong... sina hasira Doctor...
Mie naona wanawake wote wanaoleka, haijalishi amesoma sana ama la.... The issue ni how does he handle the family yeye akiwa kiongozi wa familia.
Nikionacho mie, wanaume wanapenda sana kumcontrol mwanamke hata kwenye mambo yasiyo ya msingi, msomi ana confidence ya kumwambia kua he is wrong... tell me something Doctor, mwanamke msomi ni chizi by nature mpaka abishie vitu vyenye mantiki kwa mumewe?
Heshima yako kwake itakufanya akutreat vema.
 
mwanamke ni mwanamke tuuuu...ata awe n Phd 89 atabakia kuwa mwanamke pia.hawa viumbe wasikutishie aman,wako kama puto'ukilipuliza ni lazima lijae,ukilibonyeza lazima libonyee...mtu mwenye CHEMBA huvikwa bandedge kila mwez!..unamshindwa kumhandle...
 
Mtoa mada unataka kuoa mke au cv yake? Tafuta mke mwema haijalishi ana degree au la acha kuogopa challenges. Unataka ukirudi nyumbani kila unachosema mtu anajibu sawa mume wangu, ndio, sawa! No questions asked... ili tu asionekane mbishi?! Una inferiority complex... jiamini!
Ukiwa na mke wa hivi hamkai mkaendelea katu, lazma kuwe na changamoto ndani ya nyumba, kuanzia vipato hata mawazo.....kuna wadada wako vizuri sana kichwani. Tatizo wanawake wengi wanasahau majukumu yao kama mama/mke, kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume.
 
ukioa mke aliesoma hawezi kusema ndio kwa kila usemacho hata kama ni pumba wengi mnaogopa changamoto
 
Hope umefurugwa....
Hujiamini.....
Hujitambui.....
Sio mwanaume uliyekalika....
Wanawake wazur utaishia kuwaona na kuwaita shemeji...
Watoto wako hawatakuwa wazuri kuanzia sura na akili kwa meana ya uchaguzi wako......

"The higher the risk the higher return"
 
mwanamke ni mwanamke tuuuu...ata awe n Phd 89 atabakia kuwa mwanamke pia.hawa viumbe wasikutishie aman,wako kama puto'ukilipuliza ni lazima lijae,ukilibonyeza lazima libonyee...mtu mwenye CHEMBA huvikwa bandedge kila mwez!..unamshindwa kumhandle...

usikariri kila puto linapulizika kirahisi mengine yanahitaji pumzi ya kutosha
 
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.

Utawaweza wapi na wewe mburula? labda wakuoe wewe.
 
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.

Ha ha haaa kiiiiiruuuuu! Mwajua shida ipo wapiiii? ni unakuta dume hana lolote kifuture na mfukoni pia panguuu pakavu. Sasa imagne ntuu kama huyo unakuta amekuaproach umekubali kipnd cha relationship kimeeendaaa mwishoe anataka ndoa na vile maneno yanasema kuolewa ni sheria bax unapga moyo konde coz mwaelewana mnafanya mambo. Ishu inaaanza pale labda mmeshapata watoto mume hapo hana dira ni ile unamsitri kuziba aibu coz akiaibka umeaibika wewe,hapo ndio mwagongesha life nyumba ni self ya kupanga,h,girl yupo anahtaji kulipwa,bill za maji,maziwa,umeme na maintanance zote za nyumbani ukute watoto wanasoma lbd hizi skul za YES/NO nadhani mwaelewa gharama. Hapo huyo mume badooo akijipgapga lbd ni 10000 kwa wiki anaweza pata mke unavumilia ccoz ndio mumeo na umempenda unaendelea mfichia aibu, KASHESHE ni pale labda mke umejikamua umeweza nunua kausafiri labda FUNYCAGO,VITZ,PRIMIOR,COROLA n.k. Mume hana shughuli ya kumlipa ila atataka hilo gari awe yeye ndio umwekee fuel awe anazunguka nalo maskani na vijiwe vya mafara wenzake na akifka huko fara mwenzake anamwambia aisee kuna mahali nimexkia kuna dill twende imagne toka upanga mpk vingunguti au nina ndugu yangu nataka kwenda kumuona kibaha twende anaenda asimuuzi rafki hapo gari mafuta,vipuli hajui vnagharamiwa na ukute kakamattwa na trafk fine inahtajka hawana anakupgia unamtumia ila akwambii umbali aliopo maana si utammaind, sasa mke ukiitaji gari labda waenda sokoni au whatever hakupi na ukimbana zaidi anachukia na kunununa na hapo ndani hatoi hata sent 5 maana kale ka 10,000 alichokua anatoaga kakaelekezea naye kwenye fuel ajioshee nomino. Mzigo wote wa familia mke anaubeba mume kawa mume jina hata mtoto amwambie dady plse give me 500 for pencil hana anamjibu mtoto toooka mwambie mamaako ndio anashughulika nayo sasa piga picha MUME WA DIZAIN HII HACHOSHIIIII? ndio mjiulize kwanini single mother zinaongezeka ni kwasababu wanaume mmekua MARIOO sana hamjitumii,mwataka muwe maboss elimu huna,muuza magari wkt hata 10,000 huna mfukoni! Mke akisema apge overtime aongeze kibato unakua mkali akirudi umsemesh na tunarudi usiku shauri ya kazi na hapo gari yake unalo umekalia kujambiajambia daily ila akikwambia nachelewa njoo nichukue uendii eti mke aniendesh. Sasa mwisho wa xku nakukinai nakuhama na wanangu na mali zangu uendelee kuwa huru nisikupe presha. MWANAUME TAMBUA UANAUME WAKO NA UKIITWA BABA LAZIMAA UBABAIKE FAMILIA ISIMAME
 
ndo tumekuja sasa wewe nahisi una matatizo hakuna mwanamke msomi ambaye hayajaolewa na kufurahia ndoa yake labda kuwe na mushkeri hapo ila kwa mwanamke anayejiheshimu, mvumlivu na mstahimilivu, mwenye mapendo ya dhati lazima awe na mume sivyo unavyodhani ndugu ni MTAZAMO WAKO HASI ULIONAO

Na kwa taarifa yako wale ambao ni viongozi ni wanawake wazuri kupita kiasi ni weredi kwenye mambo yote
sasa kinachokusarandisha hapa niini kama sio huna lako jambo?


Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.
 
Black widow uwe unajiheshimu sio kila wakati siasa na mambo yako ya dini.

Hiyo dini umeiona wewe tu? Mkiambiwa kweli mnaanza viroja:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Utawaweza wapi na wewe mburula? labda wakuoe wewe.
 
Mimi sitotumia my positive energy kubishana na watu ambao hawajielewi...na watu wengine wanavyoshobokea its a shame to be honest...wanataka mtu hata akikutia dole la macho ukae utulie tu uugulie...lazima mjifunze kupokea critics kama nyinyi mnavyozitoa!!mnatusema sisi wajuaji mmejuaje kama humjaumbuliwa?lazima ulikuwa unampiga mtu changa la macho ukapewa za uso....wanawake waloelimika wanajua haki zao na kujenga hoja!mwanaume jiamini na usimame kama mwanaume with PRIDE and SINCERITY again i repeat SINCERITY hakika wanawake wote watakuheshimu!wacha nikasome articles niongeze knowledge!
Cc Mkoroshokigoli,much respect to you,njoo utoe mchango wako!
 
Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees mamito nimeipenda hii post yako waambie ukweli hao midume maana wamezidi

mimi sitotumia my positive energy kubishana na watu ambao hawajielewi...na watu wengine wanavyoshobokea its a shame to be honest...wanataka mtu hata akikutia dole la macho ukae utulie tu uugulie...lazima mjifunze kupokea critics kama nyinyi mnavyozitoa!!mnatusema sisi wajuaji mmejuaje kama humjaumbuliwa?lazima ulikuwa unampiga mtu changa la macho ukapewa za uso....wanawake waloelimika wanajua haki zao na kujenga hoja!mwanaume jiamini na usimame kama mwanaume with pride and sincerity again i repeat sincerity hakika wanawake wote watakuheshimu!wacha nikasome articles niongeze knowledge!
Cc mkoroshokigoli,much respect to you,njoo utoe mchango wako!
 
Back
Top Bottom