Kumbuka kuwa hao unaowaita walikuwa mama wa nyumbani ndio walikuwa watafutaji wakubwa wa kipato cha familia na wakawa wavumilivu. Wao ndio walikuwa wanahakikisha chakula cha familia kinatosha, wanalima na kuvuna pamba, kahawa nk ambavyo mauzo yake madingi wanatumia kuongeza mke/wake. Kwani hizo hela zenu mnazopata mnachangia nini? Ni wachache sana ambao wanaongeza kwenye pato la familia. Wengi wenu mnaishia nazo saloon na boutique. Unakuta mtu ana mshahara na bado kila kitu anamuomba mume. Ukimwambia kutimiza majukumu ya mama anadai haki sawa! Haki sawa wakati hata hela ya kutuma kwa wazazi wako natoa Mimi?
Inategemea na mtu, ofcourse kuna baadhi wapo hivyo, lakin ni vizuri pia kuangalia gap kati yenu, usije ukawa na ka certificate then ukang'ang'ana na mwenye PhdNilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.
nikikkomba hela ya wazazi wangu nakuzuga tu usinistukie, lakini nshawatumia kisirisiri
ha ha ha kweli mku atupishe wenye visu vikali ye cha kwake ni butu aiseeeeukiona huwezi jua si saiz yako, kaa pembeni
ha ha ha kweli mku atupishe wenye visu vikali ye cha kwake ni butu aiseeee