Wanawake wa maofisini punguzeni kuombaomba

Wanawake wa maofisini punguzeni kuombaomba

Unaogopa kuonekana bahili mkuu kisa Dem ni mrembo [emoji23][emoji23][emoji23] ,nakuhakikishia ukiomba mechi hupew wankuona mwepesi Sana, women love things they can't get ,usijiachilie kihivo tu .
 
Hapo labda nyie ni wa department moja na mishahara yenu mnaijua
Chai how much mkuu unatoa kwa asubuhi, maana sisi chai ni 500 ya rangi , 1000 ya maziwa , chapati 500 moja ,mbili 1000 sasa si 2000 kwa siku ×31 days or 4 weeks . Jamani
 
Chai how much mkuu unatoa kwa asubuhi, maana sisi chai ni 500 ya rangi , 1000 ya maziwa , chapati 500 moja ,mbili 1000 sasa si 2000 kwa siku ×31 days or 4 weeks . Jamani
Same price Ila canteen huku kwetu inamazagazaga ya kutosha kuna supu ya kuku 7000,Ng'ombe ni 4000,utumbo 3000,pweza 8000,nyama choma 5000,maini 6000,kitumbua 600 og,samaki supu 5000 na vinginevyo
Hawa ukiingia nae hapa lazima atake na kimoja wapo hapo
 
Wanawake wa maofisini punguzeni kuwaombaomba hela vijana(wanaume) jua kwamba wanafamilia (mke, watoto, dada, mjomba, Baba, mama, shangazi) ndugu na wapenzi wanawategemea.

Imekuwa Kero sana mtu sio mpenzi wako mara anataka umnunulie chai, mara lunch na dinner wengine hadi nauli. Tena kimbembe ikifika kuanzia tarehe 20 na kuendelea vizinga vinazidi mpaka Kero yaani.

Jamani waoneeni huruma wengine wanategemewa na jamii zao ie. kanisani au msikitini

Sisi majobless hii mada haituhusu kabisa
 
Usipompa mtu ananuna salam haitikii Ukiwa na kazi ya kuprint anakwambia printer haina wino [emoji23][emoji23]
Nipe-Nikupe huijui mkuu? Unaomba mzigo, akikukazia nawe unakaza. Why umnunulie lunch wakati naye ana mshahara?
 
Nipe-Nikupe huijui mkuu? Unaomba mzigo, akikukazia nawe unakaza. Why umnunulie lunch wakati naye ana mshahara?
Wengine wake za watu mkuu na wengine Wana umri mkubwa yaani Ila wanajitoa ufahamu yaani
 
Same price Ila canteen huku kwetu inamazagazaga ya kutosha kuna supu ya kuku 7000,Ng'ombe ni 4000,utumbo 3000,pweza 8000,nyama choma 5000,maini 6000,kitumbua 600 og,samaki supu 5000 na vinginevyo
Hawa ukiingia nae hapa lazima atake na kimoja wapo hapo
Supu huku ni 3500 kuku elfu tano basi
 
Back
Top Bottom