Wanawake wa maofisini punguzeni kuombaomba

Wanawake wa maofisini punguzeni kuombaomba

Usipompa mtu ananuna salam haitikii Ukiwa na kazi ya kuprint anakwambia printer haina wino [emoji23][emoji23]
Sasa salamu yake inakukosesha pumzi kwani? Kama unapenda kusalimiwa basi lipia salamu kwa kutoa vihela unavyoombwa.

Naamini kuna ngazi ya mamlaka hapo ofisini kwenu. Akikwambia hakuna wino ikiwa unajua upo nenda kwa alie juu zaidi kimamlaka kushtaki kuwa kazi zako zinakwamishwa na huyo mtu.
 
Atakuwa hayupo kwenye cycle yako. Kuna watu akikuomba chai huwezi kumnyima maana na yeye anacho cha kukupa kama sio connection ya kazi ya ziada, chai kama hiyo, safari, mnakutana bar nk.

Kama ukiona hafiti kwenye nilizotaja hapo mpe chai ya buku kisha na wewe omba uchi, atakwambia kwa chai yako ya buku tu ndio unataka malipo ya utelezi! Mwambie hapana, haombi tena.

Epuka kutembea na mtu wa ofisi moja kama mpo class moja. Ni swala la muda tu kupata matokeo hasi.
 
Back
Top Bottom