Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,736
- 62,720
Ndyo 😀😀😀...au nakwambia sio ya kila mtu😂😂Ata wakiomba mbususu ni jibu hilo hilo sina? 🤣🤣🤣🤣
Ndyo 😀😀😀...au nakwambia sio ya kila mtu😂😂Ata wakiomba mbususu ni jibu hilo hilo sina? 🤣🤣🤣🤣
Bora hao unajua historia yao.. unaenda kwa unacho kijua.. ila unaweza kuta unakwama kwa usie jua stori yake.. na siku utayojua utasema aisee bora kuleWengine historia zao sio ukipeleleza waliopita ni wengi sasa namie niunge tela [emoji23][emoji23]
Siwezi
Mweee ...aya na mie naomba basi mbususuNdyo 😀😀😀...au nakwambia sio ya kila mtu😂😂
SINAMweee ...aya na mie naomba basi mbususu
🤣🤣🤣 SawaSINA
Angalia utashituka haipo kweli.SINA
Leo unitoe dinner Misssasa lunch tu unamnyima mtu...roho ya kimaskini hiyo
Hapo labda nyie ni wa department moja na mishahara yenu mnaijuaOfisini kwetu zamani tunapeana offer ukiwa mtegemezi kwa kila siku unatemwa so mtu anajijua leo ni zamu yangu japo hatoi kwa ofisi nzika but kwa watu fulani mf. Unaweza toa kwa watu wanne hii wiki next week wanne au kama nigharama tunachanga wote kwa mwezi basi kila mtu anaamani maana sio wote wanayo hela ya breakfast wengine ni kutesa wenzao
tajiri unaguna tena 😒😒
sio lazima nikupe kitu au hicho unachofikiria ila wakati naweza kukupa msaada wowote...halafu kuomba ni tabia ya mtu sio wadada wa ofisini tuWhat will you give me in return [emoji15]