Wanawake wa Machame mbona wanafanya hivi?

Wanawake wa Machame mbona wanafanya hivi?

We sasa huambiliki kwa kuwa uko kwenye penzi zito we ukishaoa ukakaa muda mawazo yako yanaweza kuwa huru

Kama we ni mwanaume wa ukweli hebu mwambie mchumba wako kwanini wanaitwa Wapalestina atoe sababu 5 kutetea na 5 za kupinga.
Hakuna cha data wala research wakati ni kweli hivyo hamna problem

Problem wanaachaje hicho kitabia

Naoa nikiwa na umri wa kutosha kabisa kuchanganua mambo, siendeshwi na hisia mkuu, trust me! Hizi habaro za "penzi zito" I ain't a small boy, though making mistakes is our nature ila nakuambia sioi kwa kishinikizo cha penzi zito.

Pia, sina tabia ya kufanya generalization ya mambo kama ilivyo kwa wengi, nachunguza familia na nikiona ni wacha Mungu, wana tabia nzuri...mengine namwachia Mungu aniongoze..
 
We sasa huambiliki kwa kuwa uko kwenye penzi zito we ukishaoa ukakaa muda mawazo yako yanaweza kuwa huru

Kama we ni mwanaume wa ukweli hebu mwambie mchumba wako kwanini wanaitwa Wapalestina atoe sababu 5 kutetea na 5 za kupinga.
Hakuna cha data wala research wakati ni kweli hivyo hamna problem

Problem wanaachaje hicho kitabia

Duh,kazi ipo aicee...
 
DUUUUH!!!WAJAMENI MBONA MMEKUWA WAKALI HIVYO KUNA UKWELI NDANI YAKE NN,daima mtu ukimueleza ukweli anakua mkali,ni kabila langu lakini imenigusa kidogo
 
"" Wanawake wa Machame ni wauaji, pia wa marangu ogopeni hawa, ukisha make hela kiasi hivi, wanakuua fasta
 
Ha ha ha kumbe unakipata bana..mm nimeanza kusahau kidogo..ila nakumbuka kusalimia ..nantombe, sinsoma, kufyenda, shifonisha mbe/ma...ila kusema ukweli maisha ya mapenzi ni vile watu, walivyokutana wakayatengeneza na kuishi..yaani nimekuja kugundua kati ya vitu tunavyotakiwa ku-individualize ni mapenzi...

ni kweli mkuu mwenyewe nakipata ingawa sio kivile yeah mahusiano ya mapenzi inategemeana umekutana wapi na mnapendana kiasi gani hayo mengne hayana msing my mum alikuwa wa mbali wakam dis sana kwa vle alipenda mambo yakaenda mi haya ya makabila hayana msingi it depend na unaye kutana naye na upendo basi
 
Yah nguzo ni mapenzi ambayo wahusika wameyatengeneza baina yao..
 
Basi nyie wote ni maskini, heheheheee..... usinishambulie bure mwenzako.

Wamachame Wazuri sana nyie, mie kidogo nimuowe mmoja, basi tu haikutokea.

Ila Kaka yangu aliolea pale Kwa Sadala na akajenga, mhh sijui hata kama Mtoto anajua Sikonge ni wapi.

Alikuja kufariki na kuzikiwa kwetu ila sijui zile mali kama Ndugu zake waliambulia kitu.

Ila simshangai maana Mama alikuwa KAJAZA hadi unaanza kufikiri "huyu shemeji yangu ukimtupa na aangukie Makalio, basi atadunda kama mara nne hivi...." Sheick Kipozeo ajute tu kwa nini hakumuona huyu mapema.
sio kweli lete ushahidi mbona Mimi sijamwua wakwangu.Nauko magerezani au mahakamani hawapo,ebu fafanua
 
Mmmmmh ni kweli kabisa, wanawake wa kimachame sio watu wa kuoa hata wanaume wa kimachame wanaogopa kuoa wanawake wanaotoka huko Machame. Mtaani kwetu kuna mwanamke wa kimachame amefanya madawa na vituko hadi kuchukua ndoa ya watu na kuanza kumiliki mali, kiasi kwamba hata yule mwanamume amesahau mke na watoto. Wanasifika kwa ushirikina na kuua wanaume ili wamiliki mali. Nina mifano mingi hai jamani, mnaotoka machame msikate, wanawake wa huko ukikutana nae kimbia ufeeeeee! japo sio wote.
 
Umeonaeeeeeee
 
Nikweli hawa viumbe nishida penda sana pesa penda starehe wabishi wanataka kuwa wamiliki wa familia kwa sababu hyo bac wanadiriki kuwadedisha waume zao ili watawale
 
ha ha ahhaha

Niko Ksambo hapa napiga Guiness. Yani kuanzia Mamsera, Mwika kote nimekosa Guiness nimekuja kuipatia hapa. Na hapa naambiwa ziko mbili tu.... Safari ya Marangu mtoni itaanza soon.

vyasaka hawajambo huko kwa Magufuli?
 
Back
Top Bottom