born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
My wife-to-be is from machame...!! Hiyo generalization mnayofanya sio nzuri kabisa!!
She is from machame..? You wait...umeshasahau ya ukoo sario?
My wife-to-be is from machame...!! Hiyo generalization mnayofanya sio nzuri kabisa!!
Kwanini wanawake wa kimachame mnahasira hivyo..embu cheki ww ungekua nae karibu na panga ingekuaje..? Mm ni mmachame pia sasa mnakua mnatuangusha bana..ukijibu kwa kupanic unakua unawapa maneno km ya kwangu hapo ju...kuitye nkamangiKama yupi unayemjua ameuliwa???embu taja list ya watu kumi kama hauna funga mdomo wako na akili yako na modes fungeni hii stupid thread
Ungekua na kyandu au ikumbi.. Si ungemmaliza kabisa yaani mwanzisha uzi research yake anaifanyia hapa hapa kwenye uzi huuNyambafu
Mkuu unajitahidi lkn embu cheki dadazako hapo juu wanavyoporomosha matusi wamepewa challange kidogo tu.. Wanashidwa kujibu hoja wanatukana watu..so mwenye uzi research yake anaanzia hapa kwa tabia kwnza kabla hajaenda field..udhaifu gani unaousema wewe kushikia bango watu flani kwa sababu zako hamna sehemu kabila watu ambao wako perfect na cdhani kama hzo takwimu za seventy percent umezifanyia wapi ndo mana kunakuwaga na research kuongelea hisia cdhani hafu unayo sema malezi hakuna familia au community inayo fundisha watu wawe wakatili halafu kusema wajane weng haimanishi kuwa wameuliwa hata biologically inaonyesha wanawake wanaishi mda mrefu vitu vingne to think out of the box mana vifo vinasababishwa na mambo mengi hayo unayosema yapo kwenye kila jamii walevi wahuni na maovu yote
She is from machame..? You wait...umeshasahau ya ukoo sario?
Mkuu mwenye uzi majibu anayapata hapa kabla hata hajaenda field kupata data kamili...yaani kachallange kidogo tu walikasirika na kutukana watu..saasa kama kuna panga karibu, alafu anataka mali akajenge kwao..analipitisha kwenye sugital suture..ila sio wote..hayo mambo yalishapita..niliacha wa3 kabla ya kuoa.hyo tabia ya ukorofi ni kama unayoionyesha hapa.mna laana nyie watu bahati mbaya haga kugegedana hamjui
Mkuu unajitahidi lkn embu cheki dadazako hapo juu wanavyoporomosha matusi wamepewa challange kidogo tu.. Wanashidwa kujibu hoja wanatukana watu..so mwenye uzi research yake anaanzia hapa kwa tabia kwnza kabla hajaenda field..
Ushaona watu walioua Kimazingara (Kichawi) wakafungwa?sio kweli lete ushahidi mbona Mimi sijamwua wakwangu.Nauko magerezani au mahakamani hawapo,ebu fafanua
wamachame wanawake ni watu wabaya sana.. Wanaroho mbaya..ubabe sio romantic ..ni watu wa hovyo sana hapa tanzania.. Yaani pumbaf kabisa.. Kila nikiwaona hawa wa huku kwetu natamani kutapika..ptuuuuuuuu!
Jamani naomba kujua ni kwa nini wachaga wa Machame wake zao huuwa wanaume?
Kumbe ni ke bana..nkukunda bure nkamangi..ila sasa ww utakua wa town..hata kimachame nachoandika hapo hukipati..but do not judge a book by its cover judge what is inside mtu anaweza kuwa hata wa pwani wawapi na akawa mtukanaji kwa hyo cdhani mtu akitukana ndo tabia za kabila hafu mi ni ke sometimes we need to change our thinking majority ya Tanzanian tumekuwa tunasikia vitu hatu vipimi viwango both sides matokeo yake tuna beba kama lilivo bila hata kuwa na uhakika ndo mana hatuendelei lets change our mind first towards some things
Kumbe ni ke bana..nkukunda bure nkamangi..ila sasa ww utakua wa town..hata kimachame nachoandika hapo hukipati..
My wife-to-be is from machame...!! Hiyo generalization mnayofanya sio nzuri kabisa!!
Ha ha ha kumbe unakipata bana..mm nimeanza kusahau kidogo..ila nakumbuka kusalimia ..nantombe, sinsoma, kufyenda, shifonisha mbe/ma...ila kusema ukweli maisha ya mapenzi ni vile watu, walivyokutana wakayatengeneza na kuishi..yaani nimekuja kugundua kati ya vitu tunavyotakiwa ku-individualize ni mapenzi...ha ha ha washkunda deni aya aya am hapy shike nkamangi ndende