izi ni imani za kijinga ambaozo azina mashiko, mbona kuna makabila ambayo nayo yanasifa mbaya kuzidi hawa, kuna wahaya, wahehe, watu wakusini, singida, wasukuma, watu wapwani, all tabia ya mtu anayo mwenyewe au anaweza kujifunza. pili wachaga kwa wachaga wanaoowana wao kwa wao kwa sababu wanaamini makabila mengine hayapendi maendeleo pia atakujali familia. so ujinga wa watu wachache wakutaka kuharibu sifa za jamii fulani. watanzania tubadilike na fikra chana