Wanawake mnafichaga wapi hizi pesa?

Wanawake mnafichaga wapi hizi pesa?

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,180
Reaction score
4,554
“Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza…

kwa nini kwenye harusi au sherehe, wanaume huwa tunafika tunatoa pesa kama tumekuja kulipa deni la taifa? 😂

Kwa nini kwenye harusi au sherehe, ukiona watu wanatoa pesa nyingi sana kumtunza mtu, mara nyingi wanaume ndio tunaonekana mstari wa mbele? 😂


Lakini wanawake sijawahi kuona wakisimama mstari mmoja mmoja wakitoa mafungu ya pesa hivi kumtunza mtu.

Au wanawake wana mfumo wao wa kutunza ambao sisi wanaume hatujaufahamu? 😂”

Wanawake huwa mnachangia kwa njia gani ambazo wanaume hatuzioni? 🤔😂

Au pengine tuseme huwa mnatoa
Ila sio kwa kiwango kikubwa zaidi kama cha wanaume?
 
Kazini hulipwa mishahra minono ,wanapewa kipaumbele na posho za kutosha ila bado wakifika kwao wanadai kila kitu toka kwa wanaume zao ..USA iliktaa ujinga hata ajira rasmi, wanawake wanalipwa pesa pungufu , pesa zao hazina faida zaidi ya kununua nguo za gharama.
 
Back
Top Bottom