Hivi wanawake wanataka nini..?

Hivi wanawake wanataka nini..?

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
806
Reaction score
1,584
Wakuu leo nimekaa nikatafakari sana hivi ili wanawake wasikusumbue unatakiwa kua na pesa?
2 au kua na mwanamke mmoja?
3 au kua handsam?

nimejiuliza mara nyingi sijapa jibu we unaona w
WANAWAKE WANATAKA NINI HASWA KWA WANAUME ILI WATULIE.?

MADA:
 
Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
 
Achana na mambo ya wanawake.

Jali maisha yako, jali afya yako.
 
Wanawake wenyewe hawajui wanataka nini wewe utajulia wapi wanachotaka. Wewe angalia unachotaka na namna ya kukipata.
 
Wakuu leo nimekaa nikatafakari sana hivi ili wanawake wasikusumbue unatakiwa kua na pesa?
2 au kua na mwanamke mmoja?
3 au kua handsam?

nimejiuliza mara nyingi sijapa jibu we unaona w
WANAWAKE WANATAKA NINI HASWA KWA WANAUME ILI WATULIE.?

MADA:
Uliza mmoja mmoja maana tunatofautiana.
 
Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
hata kama nina kichogo inatakiwa nikikate ili niwe na mwonekano mzuri?
 
Back
Top Bottom