Wanawake wa Machame mbona wanafanya hivi?

Wanawake wa Machame mbona wanafanya hivi?

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Jamani naomba kujua ni kwa nini wachaga wa Machame wake zao huuwa wanaume?
 
sio kweli lete ushahidi mbona Mimi sijamwua wakwangu.Nauko magerezani au mahakamani hawapo,ebu fafanua
 
Sijui ni lini watu wataelewa maana ya generaizesheni na ujuha wake

Yaani unakuja hapa na kusema "Wanawake wa Machame" utadhani hata unawajua hata 10

Mtu akija kukuambia kwenu wote ni vichaa kwasababu tu kuna mtu mmoja au wawili aliugua kichaa utakubali?
 
--Ni wangapi waliohukumiwa kwa murder au wakishaua nao hujimaliza,umehudhuria hizo kesi au hukumu kama siyo nani kakuambia huku ukijua ushahidi wa kusikia haukubaliki.
--Mbona wewe upo hai..tehe tehe.
 
Storii za vijiwenii hizoo.....hata kabila lenu laweza UA wanaume...
 
kuna watu wakisikia kitu hawa chunguzi zaidi ya kuongozwa na chuki na feelings leta research data zako harst generalization ni false
 
Watu mnatatea lkn mnajua ukweli..sisi tulioishi huko tunawajua..nenda maeneo ya lyamungo sinde na ndoo, makeresho, masama, kalali na mkuu..uone nyumba zolivyo ndo mtajua..
 
Watu mnatatea lkn mnajua ukweli..sisi tulioishi huko tunawajua..nenda maeneo ya lyamungo sinde na ndoo, makeresho, masama, kalali na mkuu..uone nyumba zolivyo ndo mtajua..

acha uongo wewe ucfikiri hatujui no research no rights to speak labda maeneo mengne sio hayo ulosema
 
Jamani naomba kujua ni kwa nini wachaga wa Machame wake zao huuwa wanaume?

Mkuu mabinti wamachame wengi wao ni hatari sio siri,hata kama hatakuua ila wana roho za kikatili sana,I hv several evidences,seriously japo ni wazuri kweli wa sura,oa Mrombo bana au Mmarangu ila uwe na salio la kutosha,keep in ua mind broh...
 
Main n only reason kwann wanaua ni kwasbb wanataka kumiliki mali kuliko mapenzi,naishi ugweno mwanga ila nawork huku pande za kwao,nawafaham sana mkuu...
 
Ukweli mbona upo wazi kabisa kuhusu wanawake wa kimachame..lkn watu mapovu yanawatoka kutaka kukanusha ukweli. Ushauri wangu kwa wanaume ni kuwa kama umepanga kuoa mke mmachame think twice.. Lkn kwa wanawake kuolewa na wanaume wa kimachame no problem. Wale wanaobisha Kuwa hakuna ukweli wowote katika hili watuambie ni kwa nini wanawake wa kimachame wanaitwa "wapalestina"?
 
Watu mnatatea lkn mnajua ukweli..sisi tulioishi huko tunawajua..nenda maeneo ya lyamungo sinde na ndoo, makeresho, masama, kalali na mkuu..uone nyumba zolivyo ndo mtajua..

Ishia hapo hapo msipende kukariri formula kama ya magazijuto kwamba bila kufungua mabano lazma uchemke
 
Jamani naomba kujua ni kwa nini wachaga wa Machame wake zao huuwa wanaume?

research yako umefanyia wapi mkuu??? njoo na vielelezo vinginevyo usiwe unaropoka kama huna cha kupost hapa ni vema ukawa kimya tu.
 
Back
Top Bottom