Jamani naomba kujua ni kwa nini wachaga wa Machame wake zao huuwa wanaume?
Karibu makabila yote, wanawake wanatuhumiwa kwa kuua waume zao
mfano Mbeya mjini kuanzia mabatini, nonde, majengo, hadi mitaa ya ghana 85% ya watu wanaoishi maeneo hayo ni wanawake wajane na watoto wao. Wanawake wanatuhumiwa kwa kuua waume wao. Je ina maana wanaoishi mitaa ya mabatini na nonde mbeya ni wamachame? Noooo!!! Ni wanyakyusa.
Kwa nini hamshughulishi vichwa. Hebu jiulize, kwa nini katika takwimu inaonyesha wanawake kwa asilimia kubwa duniani wanachelewa kufa kulinganisha na wanaume? Tambua vifo vya wanaume kuwahi kuliko wanawake ni tatizo la kidunia sio machame tu. Fuatilia kabila lako uone kama hakuna wanawake wanaotuhumiwa kuua waume wao. Generalization itawakosesha mengi. Ni sawa na wale wanaosema wanawake/wanaume hawafai anasahau kuwa miongoni mwa kati ya wasiofaa kuna mama/baba yao.
Una mke ndani, una bimdogo, Una secretary, Una vidumu kibao, yaani full michepuko. Wakisema lami umo, barabara la vumbi umo, Kwenye makorongo we unapita tu, barabara Za mkoloni we unaona mpya tu. Utapona kweli! !!! Nani utamlaumu? Hata kama mke ni mmalungina utasema mmachame.