Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

mbona inaonekana wachaga wameandamwa sana hapa nchini???inaonekana ni kabila fulani lenye kutishia usalama au??naamini kabila siyo tabia ya mtu....je haya makabila yanayosifika kwa ngono pia siyo hatari???
 
Dawa hapa makabila wawe wanaoana wenyewe kwa wenyewe maana wao wanafahamiana zaidi. Kama chaga aoe chaga mwenzake. kama kurya aoe kurya mwenzake etc
 
marangu ni shida! mimi kaka yangu ( first born wetu) alipata demu wa kimarangu, bro wangu alikuwa lawyer pale chamber ya Adv. Rweyongeza wakati huo ipo pale Haidery Plaza.. Tulikuwa tunaishi ubungo, bro akafungua kimini supermarket , akanunua kausafiri na kiwanja akanunua kule Chasimba... Anaitwa Grace Machange, alikuwa anakuja home mara kwa mara, mara akaanza kuforce uchumba na ndoa, mara akasema ana mimba! Aisee bro alienda puta, akarudi kijijin akaenda kwa kina Machange kujitambulisha, na wao wakaja home! Demu akasema ana mimba hivyo hawezi kukaa peke yake! Broh akamwambia njoo tuishi wote wakati ishu za harusi zinaendele! Kosa alilofanya Braza ndilo hilo la kumkaribisha....

Na mm nilikuwa naishi hapo, wakati huo nimemaliza form six nasubiri kujiunga chuo, lahaulah bakwata, nlikuwa naosha vyombo, napika kama mwanamke,bro akiwepo mnafiki kweli, kila kitu anafanya yeye!

Mwezi haukuisha wakiwa wametoka out, ucku wa saa kumi napigiwa simu bro amepata ajali na amefariki na alikuwa na Grace, kwenye gari lakini yeye hata mchubuko hana, gari imepasuka tairi ya nyuma tu, ila nzima kila kitu, bro alikuwa na alama kichwani. Baada ya msiba, akarudi fasta DSM akang'ang'ania mali zote, kile kigari, kimini supermarket na kiwanja kule Boko-chasimba! Na mimba hana tena...

Iliniuma sana, nililia sana, baba alisema tusioe marangu, bibi yangu sisi ni kutoka marangu! Lakini baba na bibi walikataa tusioe huko! Toka siku hiyo nawaangalia kwa jicho la pekee hao watu!

Cku moja Grace Machange akaingia kwenye 18 zangu, hasira zangu zote nikammalizia kwake... Nikuambie nn nlimfanya, alituma sms za matusi kumtukana dada yangu, wanajua wenyewe walikuwa wanatukanana nini, ila yeye alitoa matusi makubwa sana..nikampeleka polisi mbezi mwisho, ushaidi msg..akapelekwa mahakamani! Mambo yakamuwia magumu akaomba turudi mezani, ikamtoka milioni 2! Shenzi kabisa

Dont try this, at Marangu or anywhere if has origin from Marangu even did not born or reside there!
 
Mimi si mchaga ila wamarangu hawanaga tabia hiyo,ila wana kadhara flan coz wengi wao wamesoma sana ila ingekuwa Mmachame nisingeshangaa...
 
''' Inasikitisha ndugu, pole sana sana, mm personally nawajua wanaume 4 ambao sasa ni marehemu, ambao wake zao wako hai na ni wa marangu, ila kisa cha ajabu kuna mmoja alivamiwa akiwa njiani na huyo mkewe miaka kama 4 imepita waka mwacha mke mzima na wakanyanganya cm tu ya marehemu, na mke yuko fesh hata kuguswa, na jamaa alikuwa na duka mola jipya la matairi ya jumla mtaa wa swahili kkoo kama sikosei, hawa mm nimesha washtukia. uki make pesa wanakudedisha

marangu ni shida! mimi kaka yangu ( first born wetu) alipata demu wa kimarangu, bro wangu alikuwa lawyer pale chamber ya Adv. Rweyongeza wakati huo ipo pale Haidery Plaza.. Tulikuwa tunaishi ubungo, bro akafungua kimini supermarket , akanunua kausafiri na kiwanja akanunua kule Chasimba... Anaitwa Grace Machange, alikuwa anakuja home mara kwa mara, mara akaanza kuforce uchumba na ndoa, mara akasema ana mimba! Aisee bro alienda puta, akarudi kijijin akaenda kwa kina Machange kujitambulisha, na wao wakaja home! Demu akasema ana mimba hivyo hawezi kukaa peke yake! Broh akamwambia njoo tuishi wote wakati ishu za harusi zinaendele! Kosa alilofanya Braza ndilo hilo la kumkaribisha....

Na mm nilikuwa naishi hapo, wakati huo nimemaliza form six nasubiri kujiunga chuo, lahaulah bakwata, nlikuwa naosha vyombo, napika kama mwanamke,bro akiwepo mnafiki kweli, kila kitu anafanya yeye!

Mwezi haukuisha wakiwa wametoka out, ucku wa saa kumi napigiwa simu bro amepata ajali na amefariki na alikuwa na Grace, kwenye gari lakini yeye hata mchubuko hana, gari imepasuka tairi ya nyuma tu, ila nzima kila kitu, bro alikuwa na alama kichwani. Baada ya msiba, akarudi fasta DSM akang'ang'ania mali zote, kile kigari, kimini supermarket na kiwanja kule Boko-chasimba! Na mimba hana tena...

Iliniuma sana, nililia sana, baba alisema tusioe marangu, bibi yangu sisi ni kutoka marangu! Lakini baba na bibi walikataa tusioe huko! Toka siku hiyo nawaangalia kwa jicho la pekee hao watu!

Cku moja Grace Machange akaingia kwenye 18 zangu, hasira zangu zote nikammalizia kwake... Nikuambie nn nlimfanya, alituma sms za matusi kumtukana dada yangu, wanajua wenyewe walikuwa wanatukanana nini, ila yeye alitoa matusi makubwa sana..nikampeleka polisi mbezi mwisho, ushaidi msg..akapelekwa mahakamani! Mambo yakamuwia magumu akaomba turudi mezani, ikamtoka milioni 2! Shenzi kabisa

Dont try this, at Marangu or anywhere if has origin from Marangu even did not born or reside there!
 
Mkishamaliza kudiskasi habari za kuuana, mi naomba nipewe tu dili la majeneza na sanda...
 
Jamani me naomba mnipe habari za wakibosho nao vp au ni walewale?
 
Mimi nina chotara wa kikurya na kibosho, embu nipeni mwongozo nitaweza restishwa in peace mapema au nitakula chumvi kama kigunge kambare mwiru.
 
mbona kila siku wachaga ndio tunawaonea...vipi kuhusu wazaramo, wasambaa, wangoni na wengineo
 
Mimi nina chotara wa kikurya na kibosho, embu nipeni mwongozo nitaweza restishwa in peace mapema au nitakula chumvi kama kigunge kambare mwiru.

Amini Mungu ufanye yanayompendeza machoni mwa Mungu atakulinda tu whether uoe mkikuyu, mmarangu, muhindi Mungu atakusimamia. Mbona wengi wameoa huko na wamezeekea kwenye nndoa zao? Kwa hiyo wanaume wanaooa makabila mengine hawafi mapema? Mbona tunashuhudia idadi ndogo ya wanaum kuanzia 70 yrs and above unataka kusema hawa wanaume tanzania nzima walioa wachaga. Wanaume kueni na imani fanyeni mema Mungu atakusimamia hata kama utaoa lucifer mwenyewe
 
Mh, mnaniweka katika mazingira magumu wajameni .

.
.jaribu kuliza uliza kuhusu hawa wanawake wa ki marangu, hasa ambao wako ktk ndoa au wengi utakuta na watoto 2 au 3 na waume zao ni R.I.P fuatia tu kidogo, utapatwa na akili, kwa sura sio wabaya kivile, na wana kauli nzuri tu, ila sasa uanze kuvuna mshiko, anakurestisha. wako kidini hv ila wee., utajuta
 
originale kabisa, damu haijaachakachuliwa hii, lakini bado nakupenda na ntazidi kukupenda.🙂

Bora nipendwe na boga kuliko mmarangu....nakuchukieni nyieeeeeeeeeee...nakuchukia wewe...Mungu anisamehe tu.
 
Koho koho kwikwikwi mtabaki hivyo hivyo. mkileta zengwe tutawadedisha wallah

Halahalaa hips.com kwani wewe unabaki wa mbegu!!!!! Nawe utakufa siku moja, na amini usiamini siku zote malipo ni hapa hapa duniani, lazima ulipwe kabla hujaonja mauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom