wamarangu msijali tutawaoa wenyewe lekana na hawa vyasaka
Sio wewe ndio unanuksi mkuu. Angalia pande zote.
Mkishamaliza kudiskasi habari za kuuana, mi naomba nipewe tu dili la majeneza na sanda...
Mi siyo mchaga ila haipiti siku bila kujadili wachaga, tatizo ni nini? Labda mnataka tunaowapenda wachaga tuwaoe nyie sasa
lekana nawo!! vyasaka tupuu
.Wamachame wao kuua waume ukishapata pesa LIKO WAZI KABISA, uko sahihi hata wamachame wanaume hawaoi kwao, hawa ni alshabab ukipata pesa wanakudedisha, ila sasa wamarangu usiombe, wako kama kimya kimya na watu wa imani hiv za dini huwezi dhania atakudedisha ukipata mshiko, unajua heri kumjua adui mapema kuliko kukaa na kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.
Eeh Mods Funga Hii Kitu inanichefua!!. tumeshachoka kujadiliwa kila siku wachaga wachaga,tumekosa nini?!..wanaotujadili wose ni maisemboooo.....tena tondo kapisaaa!!
najivunia kuwa mchaga tena mmarangu...na namshukuru mungu!!.
Moteree...tere tere!.
"HAIKA RUWA UKO RUWEWU.,!" HAIKA SANA.
wajameni hii post imeleta mtafaruku mkubwa kwa my best frnd kaoa mmarangu yuko Kawe, Dar, kanipigia, kampa onyo mke wake kwasbb aliziona dalili hizi pia ila baada ya kusoma hii post, nikamuuliza je mkewe kaiona, akaniambia no, ila baada ya kusoma hapa akampa onyo kali na akasema haya ni kweli kabisa na huwa yeye ana wasiwasi tangia mwanzo tabia za hawa wamarangu, ila
sasa yuko chonjo sana, nikamuuliza vipi kauli zake, akasema ana kauli laini, muumini mzuri kanisani ila kuna mara nyingi vitendo vyake vimemtisha maisha sana sana kuhusu pesa.
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Niliponea chupuchupu kunasa Marangu pande za Msae...sitarudia kosa tena!!
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Wanaume kufa mapema kuliko wanawake ni janga la dunia. Nitaendelea kuamini hivi maisha yangu yote. Nani asiyejua life span ya mwanaume na mwanamke. Nazidi kupata wasiwasi wa elimu ya kizazi hiki. Kwenda eneo fulani na kukuta kuna idadi kubwa ya wajane na watoto kuliko idadi ya wanaume haijustfy kuwa wanaume waliuliwa na wake zao katika eneo hilo.
Kuna sababu nyingi zinazofanya idadi ya vifo vya wanaume kuongezeka na kuacha wajane wengi duniani. Hivyo ni muhimu pia kufuatilia tabia za wanaume na kutambua ni sababu zipi zinapelekea wanaume wanaacha wajane wengi dunia.
Hebu fikiria mwanaume anaposikia maumivu ya kichwa, haendi hospital kupima ili ajue ni dalili ya ugonjwa gani unaotaka kumpata lakini mwanamke anachukua tahadhari haraka.
Mwanaume anaumwa kikohozi anakuambia atakunywa kiroba atopona. pia wanaume wanajiamini kifanya mambo hatari ambayo mwanamke atachukua tahadhari. Lakini akipata madhara ya kifo watu husema yule ameoa mmarangu,mmachame, mnyakyusa, mpare n.k hivyo kifo asingeweza kukikwepa. What's thiiiis!! Hivyo USA wako wamachame na wamarangu? China wako Wanyakyusa?
Hivi tu ndo hawafai? Kwa hiyo hao marehemu wangekufa wakiwa wameoa wapare isingekuwa shida?
Mmeanza na Wamachame sasa leo Wamarangu ,kesho mtakuja kwetu Old Moshi na kwa ndugu zetu warombo.Hujazimishwa kuoa mchaga Aisee kama vipi mtuachie wanawake wetu tuwahandle wenyewe. Mbona kila kabila lina kasoro jamani kwani mbona kuna wamarangu wengi tuu wamedumu kwenye ndoa. Sio kila anaefiwa na mume basi ni mchaga .. Tabia binafsi ya mtu usijumuishe na kabila loh hiv kwan ww kabila lako lipo perfect!!!!!!!
Unaona sasa. Kumbe Msae nayo ni Marangu, na Mamba, na Mwika, na Mamsera na Mkuu..... si mseme wachagga tu kwa ujumla? kwaninı specifally wamarangu.
Guys, msihangaike na eneo moja la uchagani. wachagga letu ni moja. dada zangu ueni haya mambwa tulete heshima chini ya mlima. likija senge linajipendekeza, UA keimamae zake. ueni haya majibwa tubaki peke yetu keimamae zao. UENİ nimesema mimi babu yenu.