Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,379
Bora nipendwe na boga kuliko mmarangu....nakuchukieni nyieeeeeeeeeee...nakuchukia wewe...Mungu anisamehe tu.
:smile-big::smile-big: umechanganyikia wewe!
Bora nipendwe na boga kuliko mmarangu....nakuchukieni nyieeeeeeeeeee...nakuchukia wewe...Mungu anisamehe tu.
Nimefatilia michango ya wengi humu na kujiridhisha kua hilo kabila halifai, hapo nilipo Bold umethibitisha ushahidi, sitamshauri ndugu yangu yoyote kuangukia hilo kabila.marangu ni shida! mimi kaka yangu ( first born wetu) alipata demu wa kimarangu, bro wangu alikuwa lawyer pale chamber ya Adv. Rweyongeza wakati huo ipo pale Haidery Plaza.. Tulikuwa tunaishi ubungo, bro akafungua kimini supermarket , akanunua kausafiri na kiwanja akanunua kule Chasimba... Anaitwa Grace Machange, alikuwa anakuja home mara kwa mara, mara akaanza kuforce uchumba na ndoa, mara akasema ana mimba! Aisee bro alienda puta, akarudi kijijin akaenda kwa kina Machange kujitambulisha, na wao wakaja home! Demu akasema ana mimba hivyo hawezi kukaa peke yake! Broh akamwambia njoo tuishi wote wakati ishu za harusi zinaendele! Kosa alilofanya Braza ndilo hilo la kumkaribisha....
Na mm nilikuwa naishi hapo, wakati huo nimemaliza form six nasubiri kujiunga chuo, lahaulah bakwata, nlikuwa naosha vyombo, napika kama mwanamke,bro akiwepo mnafiki kweli, kila kitu anafanya yeye!
Mwezi haukuisha wakiwa wametoka out, ucku wa saa kumi napigiwa simu bro amepata ajali na amefariki na alikuwa na Grace, kwenye gari lakini yeye hata mchubuko hana, gari imepasuka tairi ya nyuma tu, ila nzima kila kitu, bro alikuwa na alama kichwani. Baada ya msiba, akarudi fasta DSM akang'ang'ania mali zote, kile kigari, kimini supermarket na kiwanja kule Boko-chasimba! Na mimba hana tena...
Iliniuma sana, nililia sana, baba alisema tusioe marangu, bibi yangu sisi ni kutoka marangu! Lakini baba na bibi walikataa tusioe huko! Toka siku hiyo nawaangalia kwa jicho la pekee hao watu!
Cku moja Grace Machange akaingia kwenye 18 zangu, hasira zangu zote nikammalizia kwake... Nikuambie nn nlimfanya, alituma sms za matusi kumtukana dada yangu, wanajua wenyewe walikuwa wanatukanana nini, ila yeye alitoa matusi makubwa sana..nikampeleka polisi mbezi mwisho, ushaidi msg..akapelekwa mahakamani! Mambo yakamuwia magumu akaomba turudi mezani, ikamtoka milioni 2! Shenzi kabisa
Dont try this, at Marangu or anywhere if has origin from Marangu even did not born or reside there!
:smile-big::smile-big: umechanganyikia wewe!
Walikuchukulia jamaa yako nini,chagga's imekamilika kila nyanja.Kiboko kwa kipi sasa? Of course kama ni watu wasiofaa lazima lisemwe hilo.....Kwangu mimi nimejikuta nawachukia wanawake wote wa kimarangu...deep down my heart
Wamachame ndo balaa,heri uoe simba.hao ni full israel...loading error...
Walikuchukulia jamaa yako nini,chagga's imekamilika kila nyanja.
nakubaliana na wewe kwa ajili ya lara 1 sikubaliani na wewe kwa ajili ya mke wangu!
Hahahaha!! Hivi lara1 nae ni mmarangu??
marangu ni shida! mimi kaka yangu ( first born wetu) alipata demu wa kimarangu, bro wangu alikuwa lawyer pale chamber ya Adv. Rweyongeza wakati huo ipo pale Haidery Plaza.. Tulikuwa tunaishi ubungo, bro akafungua kimini supermarket , akanunua kausafiri na kiwanja akanunua kule Chasimba... Anaitwa Grace Machange, alikuwa anakuja home mara kwa mara, mara akaanza kuforce uchumba na ndoa, mara akasema ana mimba! Aisee bro alienda puta, akarudi kijijin akaenda kwa kina Machange kujitambulisha, na wao wakaja home! Demu akasema ana mimba hivyo hawezi kukaa peke yake! Broh akamwambia njoo tuishi wote wakati ishu za harusi zinaendele! Kosa alilofanya Braza ndilo hilo la kumkaribisha....
Na mm nilikuwa naishi hapo, wakati huo nimemaliza form six nasubiri kujiunga chuo, lahaulah bakwata, nlikuwa naosha vyombo, napika kama mwanamke,bro akiwepo mnafiki kweli, kila kitu anafanya yeye!
Mwezi haukuisha wakiwa wametoka out, ucku wa saa kumi napigiwa simu bro amepata ajali na amefariki na alikuwa na Grace, kwenye gari lakini yeye hata mchubuko hana, gari imepasuka tairi ya nyuma tu, ila nzima kila kitu, bro alikuwa na alama kichwani. Baada ya msiba, akarudi fasta DSM akang'ang'ania mali zote, kile kigari, kimini supermarket na kiwanja kule Boko-chasimba! Na mimba hana tena...
Iliniuma sana, nililia sana, baba alisema tusioe marangu, bibi yangu sisi ni kutoka marangu! Lakini baba na bibi walikataa tusioe huko! Toka siku hiyo nawaangalia kwa jicho la pekee hao watu!
Cku moja Grace Machange akaingia kwenye 18 zangu, hasira zangu zote nikammalizia kwake... Nikuambie nn nlimfanya, alituma sms za matusi kumtukana dada yangu, wanajua wenyewe walikuwa wanatukanana nini, ila yeye alitoa matusi makubwa sana..nikampeleka polisi mbezi mwisho, ushaidi msg..akapelekwa mahakamani! Mambo yakamuwia magumu akaomba turudi mezani, ikamtoka milioni 2! Shenzi kabisa
Dont try this, at Marangu or anywhere if has origin from Marangu even did not born or reside there!
Am proud to be a chagga girl MARANGU ndio asili yangu watasema tu watupake matope vyote tumebarikiwa akil, muonekano kilakitu nikupe siri upendeleo tumepewa "wachapakazi"hatutegemei yeyote mungu pekee kwa thread hii imefungua fursa za wengine kuvumbua dhahabu# watoto wakimarangu kkutafutwa@dili. Kwa ndambindambi mtabaki kusema hivyo hooooyaee ulele ulele uleee
pole zako, wewe mmoja ukituchukia haina madhara kabisa.
Kaka yangu ni victim na Mke wa Kimarangu, yeye alipingwa Sumu kisa mkasa mali tu, yote uliyosema katika sehemu ya tatu umenigusa kweli kweli kwan Brother walimfanya kuwa mchaga wao kwake ndugu zake hawakutakiwa kwa kaka, Muda huu kuna Kesi kwan kuna Ujumbe toka
kwa Mamaake kwenda kwa Shemeji zilibambwa
wapo mjini hapa, wanafanya ukahaba tu! wana vibaa uchwara huku mitaani DSM, jion wanakuja na wenzao hapo wanauza ile kitu! Ni hasara kuoa au kuzaliwa mwanamke wa kimarangu.. Wanaume wao hawana shida, ila dada zao..ni matapishi....halafu wabayaaaaa...ndio wale wachaga wenye miguu kama spoku za baiskeli, juu kama mkungu wa ndizi, hakuna pa kushika!waschana wa marangu ni warembo sana lakini ni majivuno,kujiskia kwingi na wengi hawapendi kuishi na waume. anataka hela na maisha ya starehe.