Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁
◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
◇ Wanaviburi vya asili sana
◇ ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
◇ Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
◇ Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
◇ Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.

NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Toka kwa Wasukuma hadi kwa wakurya, na bado mtapata tabu sana akina Juniors wa 2000yrs 😊

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wasukuma wa wapi?
Kuna wanawake walozi km wasukuma?
Mi nadhani ungeanza na hao kuwapeleka waokoke..!!

Au ushalogwa nawe huelewi 😹😹
Huyo hajui na hajatembea wasukuma wanavyopenda waganga kule kila Nyumba ina mganga wake na utakuta kiongozi wa Dini kabla ya kwenda kwenye ibada anaenda kwanza kwa Mganga na Wanawake wote wa Kisukuma wamechanjwa chale mgongoni na kifuani.
 
Acha ku generalize vitu ambavyo huna uhakika kumbe ni kusimliwa na kumuona huyo msaghane mmoja shemeji yako! Kwa mkoa wa Mara mwanamke wa kikurya ndiye wa kuoa maana kwanza hata ni aibu eti mgombane na mume umsababishie kovu la kupigana weeeiiii watakushangaa mpaka unaingia kaburini au eti mumeo amekupiga umpeleke polisi akah akah unapata wapi hiyo jeuri
Uwajui,shukuruni police Kanda maalumu ndio imewanyoosha wakurya wamekaa kwenye mstari angalau siku hizi matukio ni machache ya ukatili.
Chagua
Faini,jela,au risasi pia elimu na dini angalau wamerudi nyuma.

Mwanamke wa kikurya akiwa na Dalili za ubabe anza kumdunda mapema usimpe gap akikuzoea huwa hawarudi nyuma.
 
Kanda maalum unajua haikuja kwa ajili ya ukatili wa kijinsia? Maana wao wanadeal na matukio makubwa makubwa ya mauaji na ujambazi yaliyokuwepo na sasa kwa hakika yamepungua, hizo za faini au risasi kwa mtu aliyefanya ukatili kwa mkewe ni uongo! Ofcoz wapo wanawake sasa wameanza kupata mwanga na kujua wanaweza saidika wanapata msaada kisheria, na jamii pia inaelimika hata binti akinyanyasika anarudi nyumbani kwa baadhi ya familia na wanampokea, ila kwa zamani athubutu yake kurudi na ng'ombe zishaliwa weee bora ufie kwenye ndoa kuliko kurudi nyumbani wanakwambia hata pa kulala hakuna maana ulishaolewa tukakutoa kwenye hesabu, hata ufiwe na mama unapewa ruhusa ya kuzika na kurudi siku hiyo hiyo kama ni mbali unarudi asubuhi yake
 
Umekutana na mjita, mkurya hapendi urogi wala kuongea sana hasa kwa mumewe ni mnyenyekevu na msikivu mno. Kwa vile wote wanatoka mkoa wa Mara hata wajita nao hujiita wakurya kuficha identify yao sababu ya sifa zao kuu za kupenda sana madawa na kutokukaa kwenye ndoa. KERATO MOMBAA muelimishe huyo
Ahsante kipenzi Sweet16 yaani wanatuchanganya na Wajita, hizo tabia ni za Kijita kabisa alizotaja. Wanawake wa Kikurya walivyo wanyenyekevu, wamekatwa sana mapanga bila hata ya kurudisha. Nimeshangaa watu, wanataja tabia hata hazihusiani na Wakurya, ili mradi aandike naye aonekane kaandika, ngachoka na walimwengu 😅😅😅😅
 
😹😹😹 Michawi sana haiamini kupendwa bila ndumba..!! 🤣
Mmm wakurya wachawi wewe huwajui wa kurya yani kabisa Mkurya umegombana nae aende kukuroga? Au umemdhulumu pesa aende kwa mganga? Kwanza huyu Mganga kwao Tarime hakuna,kama wanaenda kuwafata waganga nje ya mkoa na Mwanamke wakikurya hawezi kufunga safari akaenda mkoa mwingine akafata mganga amfanyie dawa ya mapenzi. Kule Mkoani mara kuna makabila Mengi karibia yana fika 20 kwa hiyo usikalili siyo kila mtu akisema anatokea mkoa wa Mara basi ni Mkurya, Nyerere, Butiku, Wasira, Jaji mkuu wa sasa Prof Muhongo, Simon sillo siyo wakurya na wanatokea Mkoa Wa Mara, Wakurya Original kwao Wilaya ya Tarime ila Wilaya zingine hizo Serengeti, Bunda, Musoma, Butiama uko Wakurya siyo kwao.
 
Ahsante kipenzi Sweet16 yaani wanatuchanganya na Wajita, hizo tabia ni za Kijita kabisa alizotaja. Wanawake wa Kikurya walivyo wanyenyekevu, wamekatwa sana mapanga bila hata ya kurudisha. Nimeshangaa watu, wanataja tabia hata hazihusiani na Wakurya, ili mradi aandike naye aonekane kaandika, ngachoka na walimwengu 😅😅😅😅
Yaani watu wanachukuaga tu story ya mtu mmoja tena mwanamke wa kiruri huko anabebana nayo inakuwa ya mkurya! Bado nashangaa mwanamke gani wa kikurya amshikie panga mwanaume tena mume wa mahari kabisa! Eti awe na mdomo mrefu ndani weeeii ndaghamba igha wasituchanganye
 
Mmm wakurya wachawi wewe huwajui wa kurya yani kabisa Mkurya umegombana nae aende kukuroga? Au umemdhulumu pesa aende kwa mganga? Kwanza huyu Mganga kwao Tarime hakuna,kama wanaenda kuwafata waganga nje ya mkoa na Mwanamke wakikurya hawezi kufunga safari akaenda mkoa mwingine akafata mganga amfanyie dawa ya mapenzi. Kule Mkoani mara kuna makabila Mengi karibia yana fika 20 kwa hiyo usikalili siyo kila mtu akisema anatokea mkoa wa Mara basi ni Mkurya, Nyerere, Butiku, Wasira, Jaji mkuu wa sasa Prof Muhongo, Simon sillo siyo wakurya na wanatokea Mkoa Wa Mara, Wakurya Original kwao Wilaya ya Tarime ila Wilaya zingine hizo Serengeti, Bunda, Musoma, Butiama uko Wakurya siyo kwao.
Serengeti umesahau ndipo walipo wanchare na warenchoka mura! Serengeti ina sehemu kubwa tu ya wakurya
 
Back
Top Bottom