cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
Sasa bora arudi saa 8 aapologize anarudi saa 8 kanunaaaaa! kwa kuwa tu damu ya hitler ina-flow kwenye veins zake! wakati nna mtu wangu nje hata kama ananidanganya but hata nikikohoa tu saa 8 za usiku huyu hapa! sasa huyo mume wa nn?? jamani hata cc tuna mioyo ina feelings kama zenu, tunaumia sana mnapochelewa kurudi, mnavyotutreat ndivyo sivyo! hebu basi badilikeni ili revange zipungue!Hehehe! Wamelianzisha sie tunamalizia!
Wanawake wengi, I can say ukiacha physical abuse wanapata emotional abuse (mtu kila siku unarudi kwako saa nane za usiku, mashosti wanaume wazima mnang'ang'aniana bar,kha!) Na kubwa zaidi cheatings! Haya urudi saa nane na kisirani juu! Akhuu!