Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala

Hehehe! Wamelianzisha sie tunamalizia!
Wanawake wengi, I can say ukiacha physical abuse wanapata emotional abuse (mtu kila siku unarudi kwako saa nane za usiku, mashosti wanaume wazima mnang'ang'aniana bar,kha!) Na kubwa zaidi cheatings! Haya urudi saa nane na kisirani juu! Akhuu!
Sasa bora arudi saa 8 aapologize anarudi saa 8 kanunaaaaa! kwa kuwa tu damu ya hitler ina-flow kwenye veins zake! wakati nna mtu wangu nje hata kama ananidanganya but hata nikikohoa tu saa 8 za usiku huyu hapa! sasa huyo mume wa nn?? jamani hata cc tuna mioyo ina feelings kama zenu, tunaumia sana mnapochelewa kurudi, mnavyotutreat ndivyo sivyo! hebu basi badilikeni ili revange zipungue!
 
mmmmmhhhhhhh hebu endeleeni kwanza nitarudi baadaye! unakuta mtu ni mwanachama wa revola mpaka imesinyaa na kupinda juu ka banio la ugali! hata kabla ya ugomvi unatafuta tu assistance, ikibidi hata dildo zahusika! mbona nyie huwa mnatudiss hata kabla ya ugomvi, yaani mtu anaamua tu anatoka na best friend wako, ila nyie mnakera. sisapoti revenge ila napinga UBINAFSI WENU MEN!

khaaa! mdada upo? dildo inahuu kidogo sasa? hawa wakaka tunawaendekeza sana tu. jitu lina kupa emotional abuse halafu litaka uwe obidient kwake is it fair? je siye nasi tukiwapa hivyo watafurah?

kwa kuelewa utu wao ndio maana tunafanya sirini ili wasidhalilike but amani nafsi mwetu inapatikana. ishu nikuwa potezea stail ya dont see me. ukipractce mwez tu kwisha habari yake anarudi kama ndio anaaza kukutongoza upya
 
Haa haaaaa revenge a dish best served cold..........utajuta omba yasikukute ......mtenda akitendewa !
 
Inabidi afungue kampuni ya kutuliza hasira za wamama. Wateja watamzidi!

This hollier than thou attitude inanichosha kwa kweli! Ati men wakiona hawajaridhika na usafi wa nyumbani wanaenda nje ya ndoa, mwanamke akitoka yeye anafanya 'stupid revenge'

Mwaka huu mntanyooka hehehe!

ahahah..Afungue kampuni aweke na call center...
 
Billie have you ever seen a mistreated woman? mi nimewashuhudia bana acha kabisa, sitetei kufanya uzinzi but natetea kwa mtu kupata liwazo lake. ofcourse ugomvi wa siku moja hauwez kuleta shida ya kumfanya mtu atoke nje but kuna mazngira kaka yangu, unakuta mama kakaa ndani miez 4 hapewi penzi kila siku baba akirud ni kisirani tu, kachelewa, karudi ,aribu kuuliza hiyo mitusi unaikoga, so njia nzuri ni kwa wewe kukaa pembeni.

ukaapa pambeni ndipo unapotafuta liwazo sasa you look for a man who can satisfy ur sexual need na kukupa amani and FYI huyu mama kwa kuwa na patna nje na akamudu kupotezea mumewe huwa baada ya muda mue hujirud kwani huanza kuona mkewe ana loose attention kwake na kama huyu mama akajijua na akawa anapendeza sana kimavazi na nywele, na wakati unajipamba usimwombe sh kumi yake mbona unamkomesha? hii ni dawa aisee

I am always trying to be at your side, umenikosha kwa neno "mitusi unaikoga" na "aisee". Natamani kuku pm, basi tu.
 
Nani kakwambia revenge lazima urushe ngumi bana...ni kwakujipa pumziko so huyo mume aone asione haisumbui so long yeye mwanamke kapata tulizo..na impact utaiona tu maana kitabia ataanza kutokukujali nahilo huwaumiza sana spishi ya kiume
Hapa nafurahi kwamba umeelewa mantik ya post yangu kumbe lengo lenu kuu ni kujipa pumziko na kupata tulizo aise nafikiri nimeelewa vizuri sasa nakshukuru sana Haven kwa ufafanuzi mzuri kumbe hua si revenge kama nilivokua nafikir
 
Jamani sielewi kwani i siku hizi ni mada zenye kuonyesha ubaya wa mwanamke tu ndizo zinazopostiwa sasa najiuliza hivi siye wanawake hatuna jema kwenu nyie akina boss na wengine?

back to the point, ugomvi unapoingia katika mahusiano waweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na busara,hekima, upendo na akili ya wenzi husika.

ugomvi unapoingia katika mahusiano ambayo ni ya kutegana like no real love except ni kuviziana tu, what do you expect out of it definately watalipizana visasi na kuonyeshana umwamba na ubabe usiokuwa na tij ana hapa yaweza kuwa ni kwa both patnaz.

kuna wanawake wengi tu ambao kweli wanazipenda ndoa zao kwa dhat kabisa na unapotokea ugomvi huwa bado haumshawishi kutoka nje ya ndoa yake but jamani kuna wanaume visirani duniani hapa a man can sleep with a woman in the same bed for 4 months bila hata kumgusa, what do you expect? hivi wanamke huyu unategemea asiende kupunguza nyege zake nje? na anapokwenda who is to blame? tena hapo unamkuta mwanamke husika ni mzuri, msafi anatimiza wajibu wake ndani but kila siku analia tu mume akirud ni saaa 8 usiku akiuliza ni ugomvi kwa busara anakaa kimya but uvumilivu pia humshinda jamani.

sisemi siri to me kama wewe mwanaume ukiniletea za kuleta u house eti unaniacha miez 4 chezeya miye siyo siri natafuta mbadala na mimi kwa raha zangu nikirudi ndani mwepesiiiii nakutizama tu na kila siku unaniona natoka nikiwa nimenoga kuliko kwanza, manina walai

Hahahaha gfsonwin kule kwa thread ya eiyer kuhusu yule mama aliemvumilia mumewe miaka kumi na tano, umelalamika sana kwamba wanawake wa siku hizi si wavumilivu na mengi tu, hapo blue umeandika nini tena mamii.
 
Last edited by a moderator:
kwani kuna mtu ana haki miliki ya mwili wa mtu sio revenge iyo ni kutafuta satisfaction ...umeshindwa kazi tunahamia airtel
 
wanaume wana mabalaa yao siku zote maana wana macho peku peKU.ni wanawake wachache sana hufanya revange tena wale wajinga ila mwanamke mwenye akil hafanyi hivyo?
 
Hahahaha gfsonwin kule kwa thread ya eiyer kuhusu yule mama aliemvumilia mumewe miaka kumi na tano, umelalamika sana kwamba wanawake wa siku hizi si wavumilivu na mengi tu, hapo blue umeandika nini tena mamii.

Maty m dear dunia huwa inabadilika sana tu hapa nimesema hivi kwasababu huyu katutupia lawama upande mmoja na to me that will be if mtu unajishusha ila no body cares. inahuu sana kama hakauna ajaliye mamii
 
Last edited by a moderator:
I am always trying to be at your side, umenikosha kwa neno "mitusi unaikoga" na "aisee". Natamani kuku pm, basi tu.

umeonaeeh! hapa bana pana kitu kinaitwa uvumilivu but kama na wenyewe unajitahd lakin no body cares what do you do? binafsi ni shabiki sana wa ndoa zenye amani and to me huwa najitahd sana kuitafuta amani pale nionapo inatoweka.

labda nimwambie Maty sometimes yakubidi utumie -ve reinforement ili kugain attention ya mumeo. kusema napendeza, natimiza wajibu wangu, na pia raha najipa doesn't mean kuwa sina uvumilivu. And patient haina maana ya uwe mjinga ma dearest manake ndoa asiyo gerezani neva. unapaswa uwe creative katika uvumilivu wako na hii creativity simply you look what you are missing nje but very responsibly.To me hii dawa sana ya mwanaume jeuri, mwenye mabavu, asiyetimiza wajibu wake. usije ukasema nilisema vumilia hadi roho ikutoke wavumilia tu
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho hata katika sexual matters, kucheat achit mwanaume akichit mwanamke malaya! waacheni na wao wafanye watakavyo
ha ha ha ha............, unamanisha wote wacheat?.... ndo mambo ya ile kauli ya PM.....LIWALO NA LIWE...
 
Naona upepo umebadilika na wakaka wamekimbia. Chezea wamama wanaojitambua! LOL

Mimi ni muumini wa mtu mmoja, hivyo suluhu yangu ni kusepa tu; lkn sihukumu mtu.
 
Asante kwa kunipa nafasi ya kuuliza masuali
Suali langu la kwanza linaenda kwa mtoa maada:
Kama kuna ugomvi na mmesha achana (sio wanandoa)
we kinakuuma nini akienda "kuchapa" huko nje?

Suali la pili ni kwa baadhi ya wanaume walochangia:
Wewe unae enda kuchapa bila sababu yoyote unafaa?
Namalizia kwa mithali ya ma mabu zetu wenye busara:
Kunya anye kuku, akinya bata anaambiwa kahara.

PS: Kwenda huko nje sio revenge. hafanyi kwa kukuumiza
anafanya kwa ku-deal na frustration ulio sababisha wewe
na pia sio wanawake wote wanao deal na frustration hivi
Kila mwanamke ana namna yake. wengine tunakula ice cream
 
Jamani sielewi kwani i siku hizi ni mada zenye kuonyesha ubaya wa mwanamke tu ndizo zinazopostiwa sasa najiuliza hivi siye wanawake hatuna jema kwenu nyie akina boss na wengine?

back to the point, ugomvi unapoingia katika mahusiano waweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na busara,hekima, upendo na akili ya wenzi husika.

ugomvi unapoingia katika mahusiano ambayo ni ya kutegana like no real love except ni kuviziana tu, what do you expect out of it definately watalipizana visasi na kuonyeshana umwamba na ubabe usiokuwa na tij ana hapa yaweza kuwa ni kwa both patnaz.

kuna wanawake wengi tu ambao kweli wanazipenda ndoa zao kwa dhat kabisa na unapotokea ugomvi huwa bado haumshawishi kutoka nje ya ndoa yake but jamani kuna wanaume visirani duniani hapa a man can sleep with a woman in the same bed for 4 months bila hata kumgusa, what do you expect? hivi wanamke huyu unategemea asiende kupunguza nyege zake nje? na anapokwenda who is to blame? tena hapo unamkuta mwanamke husika ni mzuri, msafi anatimiza wajibu wake ndani but kila siku analia tu mume akirud ni saaa 8 usiku akiuliza ni ugomvi kwa busara anakaa kimya but uvumilivu pia humshinda jamani.

sisemi siri to me kama wewe mwanaume ukiniletea za kuleta u house eti unaniacha miez 4 chezeya miye siyo siri natafuta mbadala na mimi kwa raha zangu nikirudi ndani mwepesiiiii nakutizama tu na kila siku unaniona natoka nikiwa nimenoga kuliko kwanza, manina walai

Rafiki unatumia kinywaji gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom