[FONT=comic
sans ms]Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa
tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au
kutoka).....
[/FONT]1.Kwanza
tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au
la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi
hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana
hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance,
hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza,
najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka
kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke
kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na
unaniogopa.
habari ndio hiyo........