Wanawake tumezidisha mechi za nje.


Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,854
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,854 2,000
Hebu pitia hapa ujionee.
Wanawake wanaokwenda na wanaume zao kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa vinasaba vya binadamu(DNA) ili kujua uhalali wa watoto,hukimbia vipimo hivyo ktk hatua ya mwisho,mkemia na mchunguzi wa makosa ya jinai na vinasaba ktk maabara ya mkemia mkuu wa serikali Gloriao Machuve,alisema jana kuwa mara nyingi baba na mama wanapokwenda kuchunguza vinasaba ili kujua uhalali watoto,mama hukataa ktk hatua za mwisho!
imekaaje wadau
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,378
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,378 2,000
Ukiona damu ujue keshachinjwa huyo!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,238
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,238 2,000
Unafanya mchezo na kerbu wewe? Bora wakae mbali maana dr akishasema mtoto sio wangu kama yupo karibu unategemea nini?
 
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,611
Points
1,225
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,611 1,225
giLESi na bado watakimbia sana.......!
Sasa mtu unamzalisha mkeo watoto sita unategemea wote ni wako........!
Ila sijui siku hizi naona wanaishia 2 sana sana 3 na wameachana miaka 2 ama 3.........!:confused2:
 
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Messages
2,791
Points
0
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2012
2,791 0
Wale wa 1947 tumeshayazoea hayo kwani tumeona ambayo ni makubwa zaidi na ndiyo maana kuna msemo kuwa kitanda hakizai haramu!!

Babu DC!!
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,412
Points
1,195
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,412 1,195
tit 4 tat hiyo..mbona wanaume nao wanazaa nje huko watoto hawajulikani utashangaa tu siku akifariki wanakuja watoto msibani kopiryt na marehemu na kumuacha mjane yuko frastrated....hiyo ilitokea kwa mama mmoja ni rafiki wa familia yangu....yaani ishu ikiwa kwa wanaume watu aaah, shwari tu, ila kwa kina mama ndio inakuwa msala...kun**ya an**ye kuku aki***ya bata kaharisha!!!
Hebu pitia hapa ujionee.
imekaaje wadau
 
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Points
1,500
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 1,500
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
Haina maana hiyo ummu kulthum,

Ilikuwa na maana kuwa kwa upande wa wanaume, mtoto akishazaliwa ndani ya nyumba yako basi huyo ni wako....Hii ililenga kupunguza uchokonoaji usio na lazima kama haya mambo ya kwenda kufanya DNA test!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Points
1,500
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 1,500
Za masiku Babu Major??
Bomba kishenzi hadi akina Kongosho, Preta, Filipo, Erickb52 na wajukuu wengine wanaanza kubishana eti mie siyo wa 1947. Kisa, eti bibi kanitunza vizuri...

Hata sijui...may be wanataka niwape urithi wao leo??....Ila nimegoma kureveal will...


Wewe huogopi DNA test?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,854
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,854 2,000
BADILI TABIA, nayapenda yenye kubeba ujumbe mzito. Sio mtoto unamwita Irene halafu hujui maana yake, ndio maana wengi vicheche
 
Last edited by a moderator:
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Points
1,500
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 1,500
mtu mzima bora ukapotezea tuu utakufa kwa presha

Kwani na wewe bugocho ni wa 1947?

Hawa dot com wanapata shida sana kukuubali ukweli huo...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ufunguo

Ufunguo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Messages
331
Points
250
Ufunguo

Ufunguo

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2012
331 250
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
Tehe tehe tehe, umenifurahisha kijana wa dot com, Kwani wanaposema usitukane mamba kabla hujavuka mto,wanamaanisha nini?, au unadhani mamba anasikia matusi ya mwanadamu?. Ndo raha ya kiswahili, unajivinjari katika kisiwa cha lugha.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,917
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,917 2,000
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? Af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
hivi kumbe kitendo haramu ee!amma kweli mwanadamu amezidi katika kumkufuru mola wake! Watu wanalana aje!
 
B

Baby Angel2012

Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
19
Points
0
B

Baby Angel2012

Member
Joined Nov 19, 2012
19 0
hiyo hata mimi nilishashuhudia,ilikuwa noma bab kubwa!!!
 

Forum statistics

Threads 1,294,739
Members 498,025
Posts 31,186,571
Top