Wanawake tumezidisha mechi za nje.

Hizo mechi za nje si wanacheza na wanaume wa watu?. Kwa nini tusiseme wanaume tumezidisha mechi za nje?. tatizo ni kwamba wao wanabaki na ngozi lakini mwizi wa mbuzi alikuwa mme wa mtu!
 
Nitayatumia kudai fidia ya gharama za kutunza mimba na kutunza mtoto sio wangu na kuchafuliwa jina.

Kila la heri mkuu...

Utakuwa na bahari kama utapata hiyo fidia. Hata hivyo unaweza kuishia kupewa RIP wewe au mmoja wa wahusika!
 
Wanaume ni vyanzo vya maafa hayo. Mimi siwezi kuogopa kwa sababu nina jibu halali la maswali nitakayoulizwa baada ya majibu kutoka. Unakuta mwanaume mbegu zake ni mapumba, ndugu zake wanachonga as if mimi ndiyo mwenye tatizo. Unategemea nifanyeje zaidi ya kwenda kuondoa aibu ya mume wangu.

Aaaaah! wanawake hawana sababu ya kuogopa.

Mie nakuelewa sana Caroline Danzi, may be kwa sababu mimi natokea kwenye 1947 club,

Pressure ya kutokuwa na mtoto ndani ya ndoa ni kubwa mno na wanaosema sema labda hawajawahi kukutana nayo!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Mie nakuelewa sana Caroline Danzi, may be kwa sababu mimi natokea kwenye 1947 club,

Pressure ya kutokuwa na mtoto ndani ya ndoa ni kubwa mno na wanaosema sema labda hawajawahi kukutana nayo!

Babu DC!!!

Thanks babu kwa kunielewa. Sasa hivi wanawake wanapenda ndoa zao. Unfanya linalowezekana ili kuondoa aibuna ubaki na ndoa yako. Mungu atunusuru!\
 
Yani afadhali uwaambie wenzio coz hata hapa nilipo nipo na mkke wa mtu nakula mzigo tangu asubuhi na aliaga anaenda kibaha.kaingia kuoga ninavyaondika.yani anatoa mchezo si kitot.sijui mmelogwa au ndo uhuni tuu.badilikeni.
 
kwanini useme wanawake ndo wamerogwa na si wanaume,suala hapa ni pande zote zinamchango wake,unajua umeoa kabsa au kuolewa afu unagawa mzigo afu unajiona mjanjaaa! Kama wanaume tutaacha kutembea nje ya ndoa hakuna mwanamke atatoka nje ya ndoa kamwe japo kwa wengine ni impossible present tense!
 
Back
Top Bottom