Wanawake tumezidisha mechi za nje.

usifanye mchezo kuambiwa mwana si wako bali wa Mangi muuza genge au Msambaa msaka nyoka...
 
Mi naona statisticaly huwezi kuconclude hivyo since mpaka wazazi waende kupima tayari kuna uwalakini katika suala la mzazi halali wa kiume wa mtoto.
And its likely kwamba uwezekano wa baba kukimbia majibu ni mdogo
 
kila jambo na wakati wake siku hizi wanawake ndio baba haki sawa kumbe ndio kujiaibisha na kudalilika
 
giLESi na bado watakimbia sana.......!
Sasa mtu unamzalisha mkeo watoto sita unategemea wote ni wako........!
Ila sijui siku hizi naona wanaishia 2 sana sana 3 na wameachana miaka 2 ama 3.........!:confused2:

Suala si idadi ya watoto unaomzalisha mkeo. Ni suala la kumjua mkeo tu baaasi.
Hata maandiko matakatifu yanasema Kimbweka akamjua mkewe Ummu Kulthum akamzaa mtoto Baby Angel2012. lol
 
Yaani akisha kimbia tu, basi hayo ndio majibu tayari kuonyesha mume si dume la mbigu hiyo inayoonekana!! Mimi naombea technology hii iwe-advanced kiasi cha kuwa kama kile kipimo cha mkojo kuangalia mimba, yaani naenda tu pharmacy nanunua halafu kipimo kinaendelea nyumbani tena mida ya usiku huku grill zote zimefungwa!!!!!!!

Ukishapata majibu utayafanyia nini?
 
Suala si idadi ya watoto unaomzalisha mkeo. Ni suala la kumjua mkeo tu baaasi.
Hata maandiko matakatifu yanasema Kimbweka akamjua mkewe Ummu Kulthum akamzaa mtoto Baby Angel2012. lol

Sasa inapotokea mkewe akajuliwa na mwingine akarudi kwako ukamjua kumbe kilishanasa kwa aliyetangulia kumjua.....!:confused2:
 
Sasa inapotokea mkewe akajuliwa na mwingine akarudi kwako ukamjua kumbe kilishanasa kwa aliyetangulia kumjua.....!:confused2:

Arifu ndio maana unatakiwa kumjua mkeo, kama hukunielewa vizuri jitahidi kufahamu nini maana ya kumjua mkeo na Ukishamjua huwezi kubambikiwa.
Vinginevyo utaendelea kubambikiwa sana watoto.
 
Ni sawa na kupima HIV baada ya mkanda wa jeshi.

Mi naona statisticaly huwezi kuconclude hivyo since mpaka wazazi waende kupima tayari kuna uwalakini katika suala la mzazi halali wa kiume wa mtoto.
And its likely kwamba uwezekano wa baba kukimbia majibu ni mdogo
 
Ukimchunguza kuku humli....

No brother, ni vizuri kumchunguza kuku na kumfahamu vizuri ili kujua kama anafaa kuliwa au la, au kiapnde gani hakifahi; au namna ya kumdhibiti - kama nadonoa mayai basi unachoma ule mdomo, kama anaruka nje ya fensi basi unatoa manyoa!!
 
Wale wa 1947 tumeshayazoea hayo kwani tumeona ambayo ni makubwa zaidi na ndiyo maana kuna msemo kuwa kitanda hakizai haramu!!

Babu DC!!

Wanaume ni vyanzo vya maafa hayo. Mimi siwezi kuogopa kwa sababu nina jibu halali la maswali nitakayoulizwa baada ya majibu kutoka. Unakuta mwanaume mbegu zake ni mapumba, ndugu zake wanachonga as if mimi ndiyo mwenye tatizo. Unategemea nifanyeje zaidi ya kwenda kuondoa aibu ya mume wangu.

Aaaaah! wanawake hawana sababu ya kuogopa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom