Wanawake Tumezidi Jamani Kha!!!!!

Wanawake Tumezidi Jamani Kha!!!!!

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,276
Hata mimi niliiona hiyo jana. Inatisha kwa kweli.

Can you imagine pesa yote hiyo kuua mume urithi mali nilichoka badala ya kutumia hiyo pesa kuendelea kuzalisha unatumia kwa upumbavu ujinga kabisa
 
Dah ila hii ilikuwaga kwa wanawake wa kimachame zaidi ila naona walishajirekebisha ........!
Kumbe kenya inaendelea tu loh loh loh................!
 
Bora hili limebainika mapema, nina mchumba wangu mkenya, sasa naona ni bye bye
 
Kenya naona inaendelea sana kuna mwingine alifungiwa ndani eti mgonjwa kumbe mama anataka mzee afe jamani nimeogopa kabisa
 
Hii niliona katika taarifa ya habari jana usiku nikaishiwa nguvu "Wanawake roho mbaya tumezidisha jameni" sisemi kuwa wababa hawana roho mbaya la hasha ila ya wa Mama imezidi unaua mumeo kisa mali aggggrrrrrr

Jisomee mwenyewe uone Hapa chini

'I hired a gang to kill my husband' - YouTube

‘I hired gang to kill my husband’ - News - nation.co.ke

Kwa hisani ya Nation Media Group - Kenya

Hii kitu ni mashuhuri kwa baadhi ya makabila. tunalo moja hapa tz (jina kapuni) na liko moja huko kenya hilo ndio balaa kabisaaaaaa. sema na sisi wanaume tuna roho ngumu sana mpaka mtu yamkute binafsi, lakini bado tu tunawaowa tuuuu..
 
Hilo kabila linajulikana Kenya hata TZ linajulikana naona TZ wamepunguza siku hizi
 
Bora hili limebainika mapema, nina mchumba wangu mkenya, sasa naona ni bye bye

Usihofu mkuu sio wote hivyo endelea na program zako za kuchukua mzigo kwani kikubwa ni kuangalia approach nzuri itakayoku-favour wewe
 
Hata wanaume wanatumaliza kweli kweli, angalia hii mifano michache tu hapa chini,

  • Mwandishi wa UNMISS amuua mkewe na kujiua.
  • Mkazi mmoja wa Kijiji cha Idubula, katika Kata ya Karitu ,wilayani Nzega, Tabora, amemuua mkewe kwa kumkatakata kwa mapanga baada ya ............

  • Mwanajeshi amuua mkewe ................
  • Amuua mkewe wakigombea kandambili. Alhamisi, Februari 14, 2013 05:27 Na Dorothy Chagula, Musoma ........
  • Mume amuua mkewe kinyama. *Amchoma kisu kifuani, akimbilia polisi. Na Masau Bwire MKAZI wa Temeke Mikoroshini Dar es Salaam ...........
 
Dena Amsi niliiona jana na mwanamke katoa pesa kibao ili mumewe auwawe
Dah hizo pesa si angefanyia maemdeleo aise kuliko kuwapa gang wamuuwe mumewe na wangekaa na mume hizo pesa zote si angefanyia maendeleo ya maana
Sasa ndo anaenda kuishia jela na mume anamkosa na hata kile alichokuwa anakipata kinaishia
 
Last edited by a moderator:

Hapa Duniani siku hizi ni balaa hebu fikiria hizo 200,000Kshs ni pesa ngapi za TZ si angefanya kitu cha maana sana na inaonyesha anazo more than that cause hawezi kutoa hizo pesa akabaki hana kitu
 
Hata wanaume wanatumaliza kweli kweli, angalia hii mifano michache tu hapa chini,

  • Mwandishi wa UNMISS amuua mkewe na kujiua.
  • Mkazi mmoja wa Kijiji cha Idubula, katika Kata ya Karitu ,wilayani Nzega, Tabora, amemuua mkewe kwa kumkatakata kwa mapanga baada ya ............

  • Mwanajeshi amuua mkewe ................
  • Amuua mkewe wakigombea kandambili. Alhamisi, Februari 14, 2013 05:27 Na Dorothy Chagula, Musoma ........
  • Mume amuua mkewe kinyama. *Amchoma kisu kifuani, akimbilia polisi. Na Masau Bwire MKAZI wa Temeke Mikoroshini Dar es Salaam ...........

Nakubaliana na wewe sijakataa lakini kuna tofauti hapa Mwanamke anamuua mumewe apate mali mwanaume anamuua mkewe kisa wivu kuua si kitu kizuri lakini ya kuua kwa ajili ya mali hapana aisee
 
Wanawake wa Kichaga wana Haka kamtindo.

"Pesa kwanza, Uhai baadae"
 
Back
Top Bottom