Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
Hata wanaume wanatumaliza kweli kweli, angalia hii mifano michache tu hapa chini,
- Mwandishi wa UNMISS amuua mkewe na kujiua.
- Mkazi mmoja wa Kijiji cha Idubula, katika Kata ya Karitu ,wilayani Nzega, Tabora, amemuua mkewe kwa kumkatakata kwa mapanga baada ya ............
- Mwanajeshi amuua mkewe ................
- Amuua mkewe wakigombea kandambili. Alhamisi, Februari 14, 2013 05:27 Na Dorothy Chagula, Musoma ........
- Mume amuua mkewe kinyama. *Amchoma kisu kifuani, akimbilia polisi. Na Masau Bwire MKAZI wa Temeke Mikoroshini Dar es Salaam ...........
Huyo kaua bila ya kukusudia. Hakupanya just Heuristic.
Ila hiyo kesi ya huyo mwanamke ni planned.