Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Mleta mada acha kusapoti ukatili hata kama ni kwa njia ya indirect, Kitendo cha mtu kumuua mtu kwa sababu za mapenzi ni ukatili wa hali ya juu, Hawa wanahitajika kupigwa vitanzi tu.
Kitanzi hiki hiki ama kitanzi gani?
 
Kitanzi hiki hiki ama kitanzi gani?

kuna kitanzi gani chengine? Ni lazima hizi tabia zikomeshwe bila ya hivo haya mambo yatazidi zaidi. Mwanamke akikushinda muache utafute mwengine sio ufanye mambo ya ajabu.
 
Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika.

Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini? Mmekuwa wabishi mnakoromena na waume zenu kisa mnadai sisi na nyie ni sawa hakuna kitu kama hicho, mnadanganyana hakuna usawa kati yenu na sisi haitokuja kutokea mpaka kiama.

Kama unahisi bado haujamaliza ujana unakubali ndoa ya nini? Unajua kabisa huyu mwanaume haumpendi unakubali kuolewa nae kwa nini? Badilikeni haraka kama mtu haumpendi usikubali kuolewa nae, wanaume wa sasa hawana moyo wa kuvumilia kama baba zetu.

Yote kwa yote tumrudie muumba wetu.
Wanaume tulieni kweny ndoa zenu tumechoka kusikia kila siku mwanaume kamwagiwa uji,, mwanaume kakatwa sehem za Siri tumechoka aiseh
 
Wanaume siku hizi wamekua viongozi wa kulia lia wanawake tunawacheki tu.
Yaani wanazidi kuwa mafurushi. Akina baba hebu amkeni leeni hawa watoto wenu wa kiume kuwa wanaume.
 
Nyie akili ya kuconvertr hao mizinguo hadi wawe better hamna hadi mlie lie?
Point yangu ni kuwa umenikuta na misimamo yangu, so tukapendana na ukasema "i need a guy who respects me" let's say mwanzo nilikuwa rude boy nikajiadjust finally I respect you, ukaanza kuona naboa, so you go out to fvck another rude boy. Hapo ndio tunasema hamjui nini mnataka, your words hold no value.
 
Kuua mwanamke ambaye mmekutana ukubwani ana mama yake una mama Yako.Mbususu imekuzidi uwezo wa kufikiri na kutenda

Nimekupata vyema,,, Leo sijaka kujifanya Mwalimu wakati wa kujifunza...

BUT na hii mnaposema Wanaume tunalia lia humu mna maanisha nini hasa....??
 
Hamna cha kukatwa nyeti weye, wanaume hawakua maboya kama hizi new breeds, enzi hizo hata mama kuzaa watoto wa nje ilikua kawaida tu yani katika ya watoto 6 wa dingi unakuta wawili sio wa dingi na dingi anajua kabisa na maisha yanaendelea.....siku hizi ni kubana pua dieniei, #ongeeninawazee
Yaani mtubambikie watoto wa mwanaume mwengine tukubali tuu🤔🤔🤔🤔
 
Mbona na sie wanaume tunasema tunapenda mwanamke ambaye ana tako...unampata unamuweka ndani lakini utakuta mwanaume huyo huyo anaenda kucheputa na flat screen.

Moral of the story: wanawake ni binadamu kama sie wanaume. Wanapenda nao kubadilisha ladha. Tuache kuwa wachoyo, sharing is caring.
"Kuchepuka na flat screen!"
Mwanaume akiwa Horny hana standard zaidi ya usafi, may be if you're a Low T hippie.
 
Mbona na sie wanaume tunasema tunapenda mwanamke ambaye ana tako...unampata unamuweka ndani lakini utakuta mwanaume huyo huyo anaenda kucheputa na flat screen.

Moral of the story: wanawake ni binadamu kama sie wanaume. Wanapenda nao kubadilisha ladha. Tuache kuwa wachoyo, sharing is caring.
Naanda kikao cha dharura Ili tuone ujenzi wa sanamu lako utaanza lini kule Loliondo.
 
Naanda kikao cha dharura Ili tuone ujenzi wa sanamu lako utaanza lini kule Loliondo.
Ok itapendeza. Jiburudisheni wanawake bwana. Yaani ukageggedae na de libolo moja tuu maisha yako yote ni kujinyima raha ya maisha. Ila tunaomba tuu katika hizo burudani za de libolo msitubambikie watoto basi.
 
Ok itapendeza. Jiburudisheni wanawake bwana. Yaani ukageggedae na de libolo moja tuu maisha yako yote ni kujinyima raha ya maisha. Ila tunaomba tuu katika hizo burudani za de libolo msitubambikie watoto basi.
Mimi mwanamke wa kizaramo, shurti mafiga matatu. Kuzaa nitazaa na mmoja, Ila lazima kuwe na wengine wa kusaidia kubalance stress...
Mambo ya kuwa na mpenzi mmoja ndo unajikuta umeondoka na kendreee za mtu.
 
Mimi mwanamke wa kizaramo, shurti mafiga matatu. Kuzaa nitazaa na mmoja, Ila lazima kuwe na wengine wa kusaidia kubalance stress...
Mambo ya kuwa na mpenzi mmoja ndo unajikuta umeondoka na kendreee za mtu.
Safi kabisa wewe sasa ndio mwanamke. Mwanamke mshamba ndio anakuwa na mwanaume mmoja tuu. Sasa style mupya mupya za kumdatisha mumeo utazitoa wapi. Hongera sana kwa kuwa na mafiga matatu
 
Waawake wananiacha hoi, utakuta ni mtaratibu tena mlokole ila "ana kidumu pembeni" ni siri yake wala bwana hagundui.



Sasa unakuta mume ndani sio romantic, amekuwa akimuumiza mkewe moyo lakini nje kuna jamaa pengine amekuwa akimuimbisha miaka nenda rudi anajiridhisha kumpenda Kwa dhati ya moyo Kwanini asimpe nafasi moyoni ili aipate Furaha ya moyo wake ?!

Halafu ukute tangu ubinti wake hakuwahi kuwa na mahusiano na Mwanaume yeyote, akajitunza mpaka kumaliza chuo kikuu na masters degree, anaolewa anakuta Mwanaume kumbe haeleweki !

Kuna nafasi lazima ijazwe penzi na furaha ya jinsia nyingine na ikikosekana kwa muda mrefu ndio unakuta mwingine anaumwa au anakuwa haeleweki mara hasira hasira visirani n.k.

Maisha hayanaga kanuni ya aina moja!

Mwenyezi Mungu atuhurumie!
 
Hao madingi wanaovumilia watoto si wao ni wale wamelimbwatishwa, Hakuna dingi anaweza vumilia huo upuuzi, Atachinjwa mtu



Nimecheka Kwa sauti ha ha haa

Kwani unazani ni rahisi kutambua kuwa umechomekewa ?!

Tuombe tusiingie majaribuni tu!
 
Back
Top Bottom