Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wengi hawana elimu ya ndoa
Tunamuomba Mashimba aupeleke muswaada bungeni, elimu ya ndoa itolewe mashuleni na vyuoni,Kama ilivokuwa jando na unyago hapo awali kwa baadhi ya makabila nchini ...
 
Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.

Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.

Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.

So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Mkuu. Ukishaona mkeo au mchumba ni mwanaharakati wa haki sawa achana nae mapema tu. Maana sio kila mwanamke anastahili kuolewa wengine wanastahili kuzalishwa tu au wawe wale malaya/makahaba yanayo jiuza. Hivyo kumbadilisha malaya kuwa mke wa kuoa ni jambo gumu kuliko mambo mengine
 
Hamna cha kukatwa nyeti weye, wanaume hawakua maboya kama hizi new breeds, enzi hizo hata mama kuzaa watoto wa nje ilikua kawaida tu yani katika ya watoto 6 wa dingi unakuta wawili sio wa dingi na dingi anajua kabisa na maisha yanaendelea.....siku hizi ni kubana pua dieniei, #ongeeninawazee
Hao madingi wanaovumilia watoto si wao ni wale wamelimbwatishwa, Hakuna dingi anaweza vumilia huo upuuzi, Atachinjwa mtu
 
Mleta mada acha kusapoti ukatili hata kama ni kwa njia ya indirect, Kitendo cha mtu kumuua mtu kwa sababu za mapenzi ni ukatili wa hali ya juu, Hawa wanahitajika kupigwa vitanzi tu.
 
Uliona Wanaume wako strong sana enzi hizo kwa sababu Mama yako na Bibi yako walikuwa wanawatii na kuwaheshimu waume zao bila shida yoyote,lakini nyinyi siku hizi mmekua mnataka kua na nyinyi Wanaume hadi mnaleta ushindani wa kijinga kwa Wanaume!!!

Walikuwa wanaoa size zao, ndo maana kuna koo zilikuwa hazioani, kuna kabila zilikuwa hazioani

Sasa hivi ukivutiwa na sura tu unaona umemaliza, kumbe huyo mwanamke siyo size yako, yakikushinda unakimbilia kuua.
 
Hiki kitabu kilinsave sana kuelewa intergender dynamics. I suggest wanaume wakisome huta regret.
81b9Av1IWvL.jpg
 
Elimu ya ndoa ifundishwe mashuleni na mavyuoni maana kupitia ndoa ndipo uja familia, familia ndipo uja taifa. Boss aliyevurugwa nyumbani ofisini atavuruga watu labda tu awe na elimu ya kutenganisha mambo ya Kazi na mikwaruzano ya ndoa
 
Back
Top Bottom