Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Tangu manzi arudiane na ex wake Moyo wangu ukavunjika vipande vipande, baadae kila kipande kikawa kinahitaji mtu wake, nimejikuta nna mademu watano kwa wakati mmoja ili kubalance Ila kipande kikubwa kimeangukia kwa mmoja ambaye kaniambia yeye ni Bikra na kasema wiki ijayo atakuja ili apajue kwangu,
Kutokana na madhira niliyokutana nayo nimeathirika kisaikolojia yaani simuamini kabisa huenda hata hiyo Bikra yenyewe ni ya mchongo,

Binti ni Muislam wale wanaovaa Juba, maana tangu nifahamiane naye sijawahi kumwona bila Juba

Akija ntajiridhisha kama ni kweli Bikra

Malejendari nijulisheni mbinu za kumjua mwenye Bikra OG hata kwa kumwangalia usoni tu nisije kuingizwa chaka maana simwamini mwanamke kwa sasa
Kama kuna namna ya kumtambua mwanamke Bikra bila sex nijulisheni
 
Back
Top Bottom