usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,100
Na akianza kufuatilia tu ujueWatangazaji,wakina Mama wanaoalikwa na motivational speakers wa kwenye tv na redio ni kirusi kingine Cha ndoa.
Ukimuona mkeo anafuatilia hivyo vipindi jua ndoa yenu iko mashakani au soon itaingia migogoro.
Hapo kuna shida hyo ndoa haimaliza
Miez kwakweli utaanza kuona challenges nyingi sana