Mie nasema hivi, ata kama ikatokea nikaoa, nitaweka asilimia 15 kuwa mke wangu atageggedwa na njemba zingine maana yeye ni binadamu. Ila sasa nikigundua....ajue ndoa imeisha. Na mie akinikamata namwambia kabisa ndoa ndio imeisha hapa.Inabidi ujikane nafsi yako kwanza!
Halafu sio wote wanawake kuwa hawajatulia wapo watulivu,
Sema wanawake hao watulivu akivurugwa na mumewe Kwa kuchepuka na yeye ndipo huanza kujiongeza Kwa kui tafuta Furaha yake ilipo aipate !
Akili akili akili my dear.Wanaume kwanini mmekua watu wa kulia lia kama wafiwa???kwani mmekuaje??
Njoo basi nikuwowe mrembo maana wewe nimeona unataka kiwa someones wife na sio kuolewa kama fashion au kutoa nuksiOa kwanza
Wanaume siku hizi wamekua viongozi wa kulia lia wanawake tunawacheki tu.Akili akili akili my dear.
niuzie tofali kula uno kwanzaAcha tuu yaani mwanamuke ana uno hatari...naweza uza kile kiwanja changu kwa kweli kwa mapigo ya huyu mwanamke.
AminaTumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika.
Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini? Mmekuwa wabishi mnakoromena na waume zenu kisa mnadai sisi na nyie ni sawa hakuna kitu kama hicho, mnadanganyana hakuna usawa kati yenu na sisi haitokuja kutokea mpaka kiama.
Kama unahisi bado haujamaliza ujana unakubali ndoa ya nini? Unajua kabisa huyu mwanaume haumpendi unakubali kuolewa nae kwa nini? Badilikeni haraka kama mtu haumpendi usikubali kuolewa nae, wanaume wa sasa hawana moyo wa kuvumilia kama baba zetu.
Yote kwa yote tumrudie muumba wetu.
Atajulia wapi!! Wao wanachojua ni kulia lia tu.Soma Sheria Ya Tanzania Mbona Lipo Wazi.
Tofautisha Maadili Ya Kiimani Na Sheria Utakuwa Huru
Mie nasema hivi, ata kama ikatokea nikaoa, nitaweka asilimia 15 kuwa mke wangu atageggedwa na njemba zingine maana yeye ni binadamu. Ila sasa nikigundua....ajue ndoa imeisha. Na mie akinikamata namwambia kabisa ndoa ndio imeisha hapa.



Nakazia, "HAKUNA KUOA"Ebu sema wewe bwana. Mwanaume control ya mwanamke unayo wewe sasa nashangaa kwa nini wanalialia hapa.
Kwanza mwanamke usimshobokee, pili hakikisha una mihela...mbususu zitajileta zenyewe wee kazi yako ni kuwasasambua tuu. Moral of the story: hakuna kuoa...ni kuchakata mbususu na kuwazalisha
Wee kwani bado hujamaloza kujenga tuu? Aya na wewe hela zakko wazizika wapi?niuzie tofali kula uno kwanza
Wao wanasema ni nature yao kula vya nje ila wanawake ni marufuku
Sawa kabisa maana mtu ukiwa mlafi hupaswi kuwa mchoyo!
Wewe vya wenzio ukiona roho juu unataka kuonja na kula lakini vyako hutaki hiyo haifai!
wamezidi asee, kama wameshindwa kuwa wanaume waseme 😂😂 tuingie kaziniAkili akili akili my dear.
Haya ndio maneno sasa. De libolo zipo tuu mtazipataWanawake tutafute pesa jamani.
Threesome baba threesome inanimalizia helaWee kwani bado hujamaloza kujenga tuu? Aya na wewe hela zakko wazizika wapi?
Nyie akili ya kuconvert hao mizinguo hadi wawe better hamna hadi mlie lie?Ke ndo mizinguo, unamconvert kijana wa watu kuwa beta and you go JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala a savage. Lazima alie
"No right to speak without any clear research and evidence" please vividly attach here your applied research with available factors.Kwanza Kwa usaliti kwenye ndoa wanaoongoza ni wanaume Kwa wingi mkubwa!
Kwa hiyo acheni ubabe!
Midebwedo kwa namna gani!!!Hakika hii ni breed mpya, katika maisha yangu nilikua nikiona wanaume ni watu strong, ila hivi sasa....wengi ni midebwedo sana
Eeeh unawalila njemba kuja kukugegeda😲😲😲😲Threesome baba threesome inanimalizia hela