Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Tutaendelea kuboresha wanachokitafuta mpaka wakipate!!!
Sasa ukiua..na wewe ukajiua..au ukaenda jela umefaidi nini
Sometymz use common sense....
Yni mnapoteza maisha yenu mlojitafutia miaka na miaka kisa kiumbe uliye.kuta na meno yake 32..
Ambae akizingua unaweza mtimua..
khaaaaa
Ugali mtamu eti
 
Ukweli mchungu, wanawake ni tatizo sana sure maneno yao yapo kinyume sana, anachosema sio anachomaanisha. Mwanamke anaweza sema "anataka mwanaume atakae weza kumuhudumia" utamuhudumia halafu ajabu sana bado anaenda kuliwa na mvuta bangi mmoja hivi ambae hamuhudumii kwa chochote zaidi huyo demu ndio ampe pesa ya bangi.
Unahudumia sawa mzigo unapiga vizurii[emoji1787][emoji1787]au ndio kwa mwezi mara 1 tena kimoja chali
 
Hakika hii ni breed mpya, katika maisha yangu nilikua nikiona wanaume ni watu strong, ila hivi sasa....wengi ni midebwedo sana
Mwanaume strong uzaliwa na mwanamke strong, ukiona wanaume wamearibika jua mwanamke kachangia kma mlezi wakaribu wa mtoto, tumekuwa na wanaume wa ovyo kwa sababu wamama wamekuwa wa ovyo , kwa hyo lawama zote ni kwawanawake kushindwa kumlea mtoto aje kuwa baba mfano mzuri ( masingle mother wengi huwalea watoto wakiume kikekike na kuzalisha mashoga mtoto ajui mwanaume anatakiwa awe VIP, ili haya yaishe mwanamke anatakiwa Arudi Kwenye malezi sahihi.
 
Wanaume kwanini mmekua watu wa kulia lia kama wafiwa???kwani mmekuaje??
Yaani tatizo wanapewa a test of their own medicine wanabak kulia lia, miaka nenda rudi wamekua vinara wa kujisifia kuchepuka saivi wanawake nao wamecharuka watoto wa mjini wanasema tit for tati [emoji16]!
 
Wanashurutishwa???? jamani wajibu wenu umekua shuruti tena???

Mnaexaggrate mambo tu, hivo vitu vizito havijaanza leo vilikuwepo tangu enzi na enzi ni vile tu enzi hizo WANAUME WALIKUA NI WANAUME, walijua namna ya kutumia akili si ndio maana baba alikua akitoka safari anafikia kijiweni anampa mtoto koti apeleke home ye anakuja baadae....#ongeeninawazee
😁😁😁Eti anampa koti
 
Muanze kujiua wenyewe basi, maana nyie ndo vinara wa usaliti.
Msikuze mambo, mwanaume kucheat ni kitu Normal, every top man in history had bi*ches. Naweza kucheat but i love you, ila mwanamke kazi yako ni kuwa a loyal wife. Mwanaume kazi yake ni kumwaminisha mwanamke wake( main chick) kuwa cheating ni kitu normal kwa mwanaume.
 
Wanawake acheni tamaa za kipumbavu......LA sivyo za kichwa zitaendelea kuwahusu
Umekumbuka kumkumbusha mama yako mzazi, mkeo, dada yako shangazi yako isije kuwa unanyooshea vidole wengine wakati na wewe wamekuzunguka!! tafakari kabla kunyoosha vidole
 
Umekumbuka kumkumbusha mama yako mzazi, mkeo, dada yako shangazi yako isije kuwa unanyooshea vidole wengine wakati na wewe wamekuzunguka!! tafakari kabla kunyoosha vidole
Nimeshamkumbusha mke wako
 
Anasema "Mwanamke tafuta pesa yako" unajua wanawake wengi hawajui masuala ya pesa hata kutafuta, wanavutiwa na Furaha inayoletwa na pesa.

Inshort, Wanawake wengi hawajui nini wanataka, Mwanamke siyo wa kumsikiliza maneno yake. Mara nyingi wanamaanisha opposite wanachosema, " Nataka mwanaume anipende na kuniheshimu", utashangaa anadate a badboy anamtreat vibaya and she is attached bro!

Ndio maana mambo ya kuona yanahitaji mwanaume uwe na experienced na wanawake, na usioe chini ya miaka 35.
Miaka 37 nilizaa mtoto wangu wa mwisho ambaye sasa yuko darasa la 7. Najiona mjanja kwa sababu mungu akipenda, miaka kumi ijayo atakuwa amemaliza chuo kikuu.
 
Mkuu, mimi nilikuwa nahitaji kumuoa kabisa sema yeye ndo kakosa utulivu, afu anapenda show off, nilikuwa naanza kumweka sawa ila baadae nikajua hatutawezana maana mimi nahitaji mtu ambaye hata nikimwambia nenda sehemu flani kachukue mzigo nakupa na ID yangu anaenda, ila yeye nilishawahi kumpima akaogopa kwenda pamoja na kumsisitizia kumpa ID yangu sababu najua angefika angewaonyesha ID yangu lazima ninhepigiwa simu kisha ningewaambia wampe ila yeye kwa ishu ndogo tu kama hii kashindwa,
Kifupi mimi kama ni kuoa nahitaji mwanamke ambaye ni mwerevu ambaye najua siku hata nikifa najua yeye huku ataweza kuhudumia familia pasipo kuteteleka

Ila kwa sasa najikuta naghairi kuoa ni kuwapa mimba tu
Wote hamjui mnachotaka
 
Yani hoovyo kabisa..hawaulizi baba zao na babu zao walifanyeje

Hii misemo

kuchapiwa siri ya ndani
Kitanda hakizai haramu



Si tumezaliwa tumeikuta..wanadhani wao ndio wa kwanza kuchapiwa...
Kizaz cha chips mayai bana..
[emoji23][emoji23]hii misemo ni noma na inaishi
 
Maana unaua na wewe unajiua au kwenda kuishia jera kuishi Kwa mateso hadi kifo ,

Wakati ukimuacha utampata mwingine tena zaidi ya yule mpaka utaona kumbe kila shari ina Kheri yake na kumbe Mungu anavyosema tumshukuru kwa kila jambo kumbe ana maana yake nzuri sana!

Jamii inahitajika elimu ya mahusiano.

Na wanawake waache tamaa,

Na mwanamke ukishaona viashiria vya hatari ondoka kabla hajakudhuru au kuua!
Sio kuwa wanamme hatujui kuwa tunapaswa kuachana nao kwa amani, Nafikiri wanaume wanauwa kwasababu wanataka kutokomeza generation ya kipuuzi isiendelee kuwepo hapa duniani ni sawa na kukuta gugu shambani hulikati tuu badi unang'oa kabisaa kuepusha mazariaa

[emoji1787][emoji1787]Just kidding

#Ukiona huwezi heshimu mumeo USIOLEWE hakunaga watawala wawili kwa wakati mmoja kwenye nyumba moja
 
Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.

Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.

Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.

So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Hiyo yote wakishajiona wamepoteza mwelekeo wa kupata waume basi wanawa motivate wanawake wenzao negatively.
 
Watangazaji,wakina Mama wanaoalikwa na motivational speakers wa kwenye tv na redio ni kirusi kingine Cha ndoa.

Ukimuona mkeo anafuatilia hivyo vipindi jua ndoa yenu iko mashakani au soon itaingia migogoro.
Kweli kabisa.
 
Sio udhaifu ila mnaudhi sana,

Mwaka jana mwanzoni mwa mwezi march niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja hivi nikawa napiga huku namuhudumia kama kawaida
Baadae akaanza kuleta mambo ya kiwaki, nikamwambia, "kama umepata bwana mwingine sema tusipotezeane muda"

Nikaanza upelelezi wangu wa kimya kimya mwisho wa siku nikajua karudiana na Ex wake, ili kuepusha shari nikamchana ili tusifike pabaya, akawa king'ang'anizi kimoyo moyo nikajisemea nisipomuacha huyu binti nitamuua
Nikaamua kupiga chini kimya kimya, kuona nimempotezea akanitumia Video alizojirekodi na Ex wake baada ya kurudiana na kuanza kuniuliza kama wamependeza
Nikakaa kimya sikutaka kumjibu badala yake nikawa nawaza kumpoteza ila baadae nikasema wacha niachane nae
Baadae akawa anataka kote kote, kwangu anataka na kwa ex wake anataka, siku akabanjuka na ex wake kisha akaja na kwangu nikamtomba ila nilimwagia nje baada ya wiki tatu ananiuliza kama nilimwagia ndani nikakataa, baadae ananiambia yeye ni mjamzito ila akawa anataka apate uhakika kama ni wangu au wa bwana ake

Sasa baadae mimba ilipoanza kumpelekesha akaniambia niende nikamuone mimi nikaenda kama kawaida kisha nikamuachia 40k kiroho safi nikapotea

Baada ya siku tatu ananiomba tena 50k nikamwambia, "mwambie bwana ako akuhudumie sio mimba akupe mwingine kisha huduma upate kwangu" kuanzia hapo mpaka leo hatuwasiliani, mbaya zaidi hajui kama namchukia na hii yote inachangiwa na aina ya malezi, yaani mimi mtu hata kama ninakuchukia huwezi kujua

Kuna muda huwa nikifikiria najisemea huyu angenijua mimi ni nani huenda angehama nchi kabisa ila kwa kuwa nimemsamehe wacha nifanye mambo mengine ila mimi kuja kumthamini mwanamke tena ni jambo ambalo halitakuja kutokea
Kwa hiyo wee utakuwa unagegeda na kutupa kule au sio mwanawane
 
Back
Top Bottom