Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Uliona Wanaume wako strong sana enzi hizo kwa sababu Mama yako na Bibi yako walikuwa wanawatii na kuwaheshimu waume zao bila shida yoyote,lakini nyinyi siku hizi mmekua mnataka kua na nyinyi Wanaume hadi mnaleta ushindani wa kijinga kwa Wanaume!!!
Umewahi kujiuliza ni kwa nini walikuwa wanawaheshimu na kuwatii? Respect is earned.
 
Mi naona Kama ingekua vizuri Mwanamke ndiyo atafute Mume atake mmudu na atakae weza vumilia uzinzi wake, maana Wanaume wa hivyo pia wapo kibao, yaani hata Kama Mke wake asiporudi Nyumbani kwa siku tatu yeye atavumilia tu bila kinyongo!!!
Kibaya zaidi Me hana utetezi wowote juu ya huo ujinga kama ilivyo kwa hawa Ke wenye mashirika tele kupigania HAKI SAWA ambapo ni ndoto kutekelezeka katika familia za kibantu....
 
Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.

Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.

Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.

So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Best comment ...
 
Maana unaua na wewe unajiua au kwenda kuishia jera kuishi Kwa mateso hadi kifo ,

Wakati ukimuacha utampata mwingine tena zaidi ya yule mpaka utaona kumbe kila shari ina Kheri yake na kumbe Mungu anavyosema tumshukuru kwa kila jambo kumbe ana maana yake nzuri sana!

Jamii inahitajika elimu ya mahusiano.

Na wanawake waache tamaa,

Na mwanamke ukishaona viashiria vya hatari ondoka kabla hajakudhuru au kuua!
Unaongea kirahisi sana, hivi introvert people utawagundua vipi kama wamekasirika sana hadi kufikia maamuzi magumu ikiwa hata wakikosewa huwa wanaonesha tabasamu na cheko la uhakika bila kukwambia umemkosea kama extrovert people?

Si kila kitu kinavumilika kirahisi kwetu Binadamu sababu kamwe hatufanani tabia.
 
Ukweli mchungu, wanawake ni tatizo sana sure maneno yao yapo kinyume sana, anachosema sio anachomaanisha. Mwanamke anaweza sema "anataka mwanaume atakae weza kumuhudumia" utamuhudumia halafu ajabu sana bado anaenda kuliwa na mvuta bangi mmoja hivi ambae hamuhudumii kwa chochote zaidi huyo demu ndio ampe pesa ya bangi.
Unpredictable creatures behaviorally
 
Wanaume wanaumia mara 2 kwanza wanashurutishwa wahudumie kisha wakihudumia wanapigwa na vitu vizito.
Wanashurutishwa???? jamani wajibu wenu umekua shuruti tena???

Mnaexaggrate mambo tu, hivo vitu vizito havijaanza leo vilikuwepo tangu enzi na enzi ni vile tu enzi hizo WANAUME WALIKUA NI WANAUME, walijua namna ya kutumia akili si ndio maana baba alikua akitoka safari anafikia kijiweni anampa mtoto koti apeleke home ye anakuja baadae....#ongeeninawazee
 
Kiherehere chenu kuoa pisi kali

Unajijua una uwezo wa kawaida kipesa au kitandani unakimbilia kuoa saizi za watu lazima upigwe matukio

Kama uwezo wako ni wa bajaji beba bajaji kama ni lori beba lori

Hatukuwatuma muanze kutupigia magoti wakati wa engagement party

Hatukuwatuma muanze kudai keki za birthday mara mkifanyiwa suprise eti na nyie huwa mnalia.

Wanaume wa siku hizi mayai mayai sana

kukimbilia kujitapa oooh hatupo level moja mara kidume kitakua juu daima hizo ni sitaki mbichi hizi. Ridhisheni wanawake zenu acheni ubakaji ndani ya ndoa au mahusiano,kuweni romantic.
MC pili pili atakutafuta kwa kumpiga kwenye mshono wa kulia lia kisa kafanyiwa surprise ya kupendwa na Ke wake maana hakutegemea atakubaliwa kumuwowa
 
Mbona na sie wanaume tunasema tunapenda mwanamke ambaye ana tako...unampata unamuweka ndani lakini utakuta mwanaume huyo huyo anaenda kucheputa na flat screen.

Moral of the story: wanawake ni binadamu kama sie wanaume. Wanapenda nao kubadilisha ladha. Tuache kuwa wachoyo, sharing is caring.
ndio maana nakupendaga....haunaga unaa kama watu wengine
 
Kiherehere chenu kuoa pisi kali

Unajijua una uwezo wa kawaida kipesa au kitandani unakimbilia kuoa saizi za watu lazima upigwe matukio

Kama uwezo wako ni wa bajaji beba bajaji kama ni lori beba lori

Hatukuwatuma muanze kutupigia magoti wakati wa engagement party

Hatukuwatuma muanze kudai keki za birthday mara mkifanyiwa suprise eti na nyie huwa mnalia.

Wanaume wa siku hizi mayai mayai sana

kukimbilia kujitapa oooh hatupo level moja mara kidume kitakua juu daima hizo ni sitaki mbichi hizi. Ridhisheni wanawake zenu acheni ubakaji ndani ya ndoa au mahusiano,kuweni romantic.
Huwa nafurahi sana Me anapopigwa matukio mengi sana ya kimapenzi maana naaamini ikiwa atajitambua, basi hawezi kushindwa kuoa na kuishi na Ke katika uongozi bora wa familia.

Uanaume huwa unatakaga maamuzi magumu na mepesi wakati wowote katika ndoa, na hiyo ndiyo hekima sababu kuishi na Ke kwa akili hakumaanishi kuwa mpole wakati wote wala kuwa mkali wakati wote isipokuwa inategemeana na mazingira halisi ya tukio lolote litalotokea katika ndoa.

Si kazi rahisi sana, isipokuwa kwa neema zake Mungu, yote yanawezekana.
 
Wengi umuomba Mungu awape ndoa Mungu usikia kilio chao wakishapata cheti na mtoto ujisahau uanza bidii ya kuvunja ndoa, ndoa ikishavunjika ukimbia kumsumbua Mwamposa awarejeshe ndoa zao walizobomoa kwa midomo yao wenyewe
 
kujiliza liza sana, hivi vilio vya mapenzi vilizoeleka kutoka kwa wanawake....ila wanaume sahivi ndio wameshika kasi, too much bana huo sio uanaume
Usisahau kumwonea aibu Ke wakati wa mazungumzo bila ya kukutanisha macho ana kwa ana na Ke.

Pia kubana pua kwa kuongea sauti ya 3 badala ya besi, tukiamini ndiyo kuwa romantic kwa Ke, mapenzi ya tamthilia za Wafilipino yanatuharibu sana Me wa karne hii ya 21.
 
Wanaume wengi
= kuwa na michepuko.
=Kushinda bar zaidi kuliko nyumbani
=Kurudi usiku nyumbani na kuwahi kuondoka alfajiri
=Kuwa mbali mda mwingi nje ya familia kwa kisingizio cha ubize.
=Kuwa walevi mbwa
=Kufa mapema
=Mabosi kuwa wanoko ofisini
=Hasira maofisini
=Ukorofi na ugomvi
=Magonjwa ya moyo, pressure,kupooza,kisukari
=nk
Yoote haya chanzo kikuu huwa ni wanawake, chunguza mwanaume yeyeto mwenye hulka hizo ni lazima nyumbani hakupo sawa mwanaume anakimbia kelele.
"Aliyeimba " No woman no cry " aliona hayo.
Ipo haja somo la watu kufunzwa jinsi ya kuishi na watu lifundishwe shuleni, maana kuna watu wanatabia ngumu.
Mke mwema hawezi kuwa na kelele, maana kelele ukaa kwa mke mpumbavu.
 
Ila ni mbaya sana mwanamke kumsaliti mume wako jamani, Wengine mpaka wanaingiza wanaume ndani ya nyumba sasa kwanini mtu asikuue,

Kwanini unakubali kutumiwa na kutuma meseji na mwanaume asiye mumeo unajua kabisa sio sahihi?

Kwanini usiuwawe,


Wanawake acheni kufuatilia mambo ya kwenye TV yanawaharibu sana nyie
sorry so ka umeolewa huruhusiwi kutuma au kutumiwa meseji na kaka asiye mumeo??

Asking for a friend 🙂
 
Back
Top Bottom