Labda Ivo at least japo ni udhaifu kushindwa kiboya Ivo mpaka uue
Sio udhaifu ila mnaudhi sana,
Mwaka jana mwanzoni mwa mwezi march niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja hivi nikawa napiga huku namuhudumia kama kawaida
Baadae akaanza kuleta mambo ya kiwaki, nikamwambia, "kama umepata bwana mwingine sema tusipotezeane muda"
Nikaanza upelelezi wangu wa kimya kimya mwisho wa siku nikajua karudiana na Ex wake, ili kuepusha shari nikamchana ili tusifike pabaya, akawa king'ang'anizi kimoyo moyo nikajisemea nisipomuacha huyu binti nitamuua
Nikaamua kupiga chini kimya kimya, kuona nimempotezea akanitumia Video alizojirekodi na Ex wake baada ya kurudiana na kuanza kuniuliza kama wamependeza
Nikakaa kimya sikutaka kumjibu badala yake nikawa nawaza kumpoteza ila baadae nikasema wacha niachane nae
Baadae akawa anataka kote kote, kwangu anataka na kwa ex wake anataka, siku akabanjuka na ex wake kisha akaja na kwangu nikamtomba ila nilimwagia nje baada ya wiki tatu ananiuliza kama nilimwagia ndani nikakataa, baadae ananiambia yeye ni mjamzito ila akawa anataka apate uhakika kama ni wangu au wa bwana ake
Sasa baadae mimba ilipoanza kumpelekesha akaniambia niende nikamuone mimi nikaenda kama kawaida kisha nikamuachia 40k kiroho safi nikapotea
Baada ya siku tatu ananiomba tena 50k nikamwambia, "mwambie bwana ako akuhudumie sio mimba akupe mwingine kisha huduma upate kwangu" kuanzia hapo mpaka leo hatuwasiliani, mbaya zaidi hajui kama namchukia na hii yote inachangiwa na aina ya malezi, yaani mimi mtu hata kama ninakuchukia huwezi kujua
Kuna muda huwa nikifikiria najisemea huyu angenijua mimi ni nani huenda angehama nchi kabisa ila kwa kuwa nimemsamehe wacha nifanye mambo mengine ila mimi kuja kumthamini mwanamke tena ni jambo ambalo halitakuja kutokea