jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,957
- 9,431
Uliona Wanaume wako strong sana enzi hizo kwa sababu Mama yako na Bibi yako walikuwa wanawatii na kuwaheshimu waume zao bila shida yoyote,lakini nyinyi siku hizi mmekua mnataka kua na nyinyi Wanaume hadi mnaleta ushindani wa kijinga kwa Wanaume!!!Hakika hii ni breed mpya, katika maisha yangu nilikua nikiona wanaume ni watu strong, ila hivi sasa....wengi ni midebwedo sana

