Kiherehere chenu kuoa pisi kali
Unajijua una uwezo wa kawaida kipesa au kitandani unakimbilia kuoa saizi za watu lazima upigwe matukio
Kama uwezo wako ni wa bajaji beba bajaji kama ni lori beba lori
Hatukuwatuma muanze kutupigia magoti wakati wa engagement party
Hatukuwatuma muanze kudai keki za birthdayara mkifanyiwa suprise eti na nyie huwa mnalia.
Wanaume wa siku hizi mayai mayai sana
kukimbilia kujitapa oooh hatupo level moja mara kidume kitakua juu daima hizo ni sitaki mbichi hizi. Ridhisheni wanawake zenu acheni ubakaji ndani ya ndoa au mahusiano,kuweni romantic.