Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Bado ujana mwingi
Mkuu, nilishawahi kuoa na nna watoto wawili niliyokutana nayo nayajua mimi, kifupi mwanamke alikuwa mtiifu ila alikuja kunishinda baada ya kuanza kuniletea maisha ya kwenye tamthiliya anayaleta kwenye uhalisia

Pitia uzi wa Mshana jr unaoitwa, "mada maalum kwa wanandoa" kisha fuatilia comment zangu
 
Huwezi pata malaika ishi nao kwa akili,ndoa inataka uhimilivu japo kizazi cha SAsa ni mtihani pande zote.
Wanaume si wahimilivu wanawake nao hawana utii wanapambana kugombea umiliki
Umiliki ni nature na huwezi badili nature.
Women empowerment wamemtafsiri vibaya
 
Nimecheka Kwa sauti ha ha haa

Kwani unazani ni rahisi kutambua kuwa umechomekewa ?!

Tuombe tusiingie majaribuni tu!
Eti ujue umechomekewa alafu ukae kimya eti kisa unalinda ndoa...WTF
 
Eti ujue umechomekewa alafu ukae kimya eti kisa unalinda ndoa...WTF

Hata ikitokea ukajua kuwa ni kweli umebambikiwa mimba (mtoto)au watoto kwenye ndoa Mimi nazani haina neno atakuwa ni wako maana hata kwenye Card ya Clinic jina la Baba umeandikwa wewe sasa utake nini tena ?

Isipokuwa angalizo;

Kwa michepuko wenyewe huwa na cards za clinic zaidi ya mmoja kila baba alobambikwa mimba/mtoto anakuwa na card yenye jina lake clinic

Kutegemeana na idadi ya wanaume alowabambika mimba/mtoto.

Wajinga ndio waliwao
 
Wee sasa uncheat vipi kwa yule uliyempemda haswaa ..hapo unakuwa zuzu tuu. Mara nyingi unacheat kwa yule ambaye kwanza anytime akisema tuachane wewe wala hustuki....ila kama wajijua wee ukigegegdwa na de libolo lengine lazima mmiliki halali atajua basi tuliza mbususu hiyo
 
Sasa wewe kwa akili yako unadhani mie ni mtu ambaye nina malengo ya kuwa na familia? Wee vipi bwana mie ninakula mbususu tuu naburudika na warembo ila ukweli utabakia pale pale. Hamna mwanamke au mwanaume anayetulia na de libolo moja au mbususu moja
Usiusemee moyo, mimi siwezi kuchepuka huo mtihani nliushinda toka nimeanza mahusiano had sasa naelekea kuzeeka

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Kabisa na hiyo ndio akili sasa,

Kwanza kumuacha gafla huwa ni adhabu kubwa sana!

Halafu na wewe mume utaweza kuendelea kufurahia maisha yako na Pengine ukajampata mwingine mtakaependana kuliko huyo uliemwacha.

Ni swala la ufahamu na psychology wengi wanapungukiwa wanaume kwenye jamii
Wanawake wengi wanakula pesa za wanaume.halafu analeta jeuri.mauaji lazima yaendelee kuwepo.
 
Hata ikitokea ukajua kuwa ni kweli umebambikiwa mimba (mtoto)au watoto kwenye ndoa Mimi nazani haina neno atakuwa ni wako maana hata kwenye Card ya Clinic jina la Baba umeandikwa wewe sasa utake nini tena ?

Isipokuwa angalizo;

Kwa michepuko wenyewe huwa na cards za clinic zaidi ya mmoja kila baba alobambikwa mimba/mtoto anakuwa na card yenye jina lake clinic

Kutegemeana na idadi ya wanaume alowabambika mimba/mtoto.

Wajinga ndio waliwao
Duh hawa viumbe wana ukatili hivi
 
Kwa hiyo mzeya wewe ni kukamata kugegeda na kumbwaga
Amna Si kiivyo, Nipo kwenye Mahusiano lakini Mpenzi wangu si mwamini kwa asilimia zote
Huwa najitahidi sana kufanya vitu vya muhimu kwenye mahusiano lakini tatizo lipo kwa Wapezi ambao huwa nawapata
Yan huwa sipendi 𝑫𝒉𝒂𝒓𝒂𝒖 & 𝑼𝒐𝒏𝒈𝒐
Sema yote yanatokea mtu akisha kuzoea
 
Hiyo ndio akili kaka...mwanamke ni binadamu kama wewe anamatamanio ya kimwili kama mwanaume hivyo usije kujidanganya kuwa una geggeda mwenyewe tuu.
Ila akizingua unapiga chini
 
Hiyo ndio akili kaka...mwanamke ni binadamu kama wewe anamatamanio ya kimwili kama mwanaume hivyo usije kujidanganya kuwa una geggeda mwenyewe tuu.
Ila akizingua unapiga chini
Dah! Unayoyasema ni kweli kabisa maana mtu ukiforce sana ndo unaharibu
Kwahiyo mwanamke asipoeleweka ni kupita side nyingine
Uvumilie weeeh kwani imekuwa ndoa
 
Wanawake wa jf mnajua kutuchocha hapa na vimaneno vitamu, sasa jichanganye uingie pm kkuomba utelezi, unakula za uso mpaka una vimba
sasa in a real sense unamkubalije stranger..waeza kuta unatongozwa na mumeo au baba mkwe wako
 
Back
Top Bottom