Hata kama umewekeza mali na fedha nyingi kwa huyo mwanamke kama alivyofanya Marehemu Said kwa Marehemu Swalha haijalishi,
Kuwa na subra,
ITA wazee au nenda Polisi waambie hutaki shari unataka akurejeshee mali zako zote na unatoa na time frame.
Unaeleza kabisa kuwa ulimpa ukizani mtaendelea kuishi pamoja Kwa kusikilizana lakini imekuwa kinyume hivyo nahitaji kurejeshea mali zangu na fedha zangu haraka kabla sijawaza na kufanya vibaya.
Nakwambia utarejeshewa mali zako ulizompa zote kama ni magari, nyumba , viwanja, hela n.k
Hela Kama atakuwa hana usijali mwache lakini ataishi maisha ya hofu na mashaka hiyo nayo ni adhabu kwake tosha.