Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

Yani hoovyo kabisa..hawaulizi baba zao na babu zao walifanyeje

Hii misemo

kuchapiwa siri ya ndani
Kitanda hakizai haramu

Si tumezaliwa tumeikuta..wanadhani wao ndio wa kwanza kuchapiwa...
Kizaz cha chips mayai bana..
Bwana wee...yaani mie nashangaa mwanaume analalamika mke wake kugeggedwa na de libolo lingine. Mwanamke mafiga matatu bwana. Wee ukipewa fursa ya kula asali ile tuu ila tambua haupo weye peke
 
Msikuze mambo, mwanaume kucheat ni kitu Normal, every top man in history had bi*ches. Naweza kucheat but i love you, ila mwanamke kazi yako ni kuwa a loyal wife. Mwanaume kazi yake ni kumwaminisha mwanamke wake( main chick) kuwa cheating ni kitu normal kwa mwanaume.
Sio zama hizi rafiki, yaani maumivu unayoyasikia ukichitiwa ndo na mwanamke anayasikia hivyo hivyo, kama ww unavotamani wasichana huko nnje ndo nayeye anatamani wakak wazuri wazuri na show za kibabe. Zamani wanawake waliwavumilia sababu asilimia 90 walikua magoli kipa ila zama hizi mtaonyeshana show mbona yaan mtaishia jela au futi sita chini.
 
Ebu sema wewe bwana. Mwanaume control ya mwanamke unayo wewe sasa nashangaa kwa nini wanalialia hapa.
Kwanza mwanamke usimshobokee, pili hakikisha una mihela...mbususu zitajileta zenyewe wee kazi yako ni kuwasasambua tuu. Moral of the story: hakuna kuoa...ni kuchakata mbususu na kuwazalisha

Poor mindset!!! Kwani ngo’ombe au Bata!? Si wanaozaliwa ni binadamu ambao wanayo haki ya kuwa ndani ya Familia. Kuna vitu mtu akiongea au kuandika unaweza kupata picha ni mtu wa aina gani?!! Historia ya familia aliyotoka. Hao watoto mnaozalisha hao wamama wanabakia kuwa victims wa upumbavu wenu.
 
mkifundishwa mwanaume anatakiwa aweje inatosha....mnavuka mstari wa uanaume, kuna mwenzenu leo amepost screenshot dem wake kamtext happy father's day my future baby daddy, yani mi na jinsia yangu hii ke siwezi post hayo imagine a man????!!!
Hao si ndio mnasemaga wapo romantic?
 
Ni kugegeda tu lakini kuoa hapana aisee, wanawake wenyewe ndo hawa wanaosema sisi na wao tupo sawa (50/50)
 
Watangazaji,wakina Mama wanaoalikwa na motivational speakers wa kwenye tv na redio ni kirusi kingine Cha ndoa.

Ukimuona mkeo anafuatilia hivyo vipindi jua ndoa yenu iko mashakani au soon itaingia migogoro.

Pia tamthilia zinazonyeshwa kwenye tv zote zimejaa uharibifu mkubwa Sana wa ndoa na wanawake wenye kumudu kutofautisha maisha halisi na tathmilia ni wachache,wengi ucopy na kupaste kwenye ndoa ndipo moto ulipuka.
Ukiangalia tamthilia hizi pamoja na mwanamke usipokuwa makini ugomvi unaweza anzia hapo.
 
Ni kugegeda tu lakini kuoa hapana aisee, wanawake wenyewe ndo hawa wanaosema sisi na wao tupo sawa (50/50)
Bora usigegede k Ina nguvu ya kuleta upofu kesho utamiliki.
Kufanya ngono na mtu mnaunganisha mwili na nafsi
 
Bwana wee...yaani mie nashangaa mwanaume analalamika mke wake kugeggedwa na de libolo lingine. Mwanamke mafiga matatu bwana. Wee ukipewa fursa ya kula asali ile tuu ila tambua haupo weye peke
Mmh
 
Poor mindset!!! Kwani ngo’ombe au Bata!? Si wanaozaliwa ni binadamu ambao wanayo haki ya kuwa ndani ya Familia. Kuna vitu mtu akiongea au kuandika unaweza kupata picha ni mtu wa aina gani?!! Historia ya familia aliyotoka. Hao watoto mnaozalisha hao wamama wanabakia kuwa victims wa upumbavu wenu.
Sasa wewe kwa akili yako unadhani mie ni mtu ambaye nina malengo ya kuwa na familia? Wee vipi bwana mie ninakula mbususu tuu naburudika na warembo ila ukweli utabakia pale pale. Hamna mwanamke au mwanaume anayetulia na de libolo moja au mbususu moja
 
Bwana wee...yaani mie nashangaa mwanaume analalamika mke wake kugeggedwa na de libolo lingine. Mwanamke mafiga matatu bwana. Wee ukipewa fursa ya kula asali ile tuu ila tambua haupo weye peke
Kama ni hivi Ndoa zimekuwa ngumu Sana japo kwa nje tunaziona zinapendeza

Kwaiyo mzabzab mkeo ukichapiwa poa tu
Atagongwa sawa vipi kuhusu kukuletea watoto wasio wako ulee vipi kuhusu magonjwa
 
JINSI YA KUISHI MAISHA MAREFU NA YENYE AMANI:
1. OLEWA NA KUWA CHINI YA MUME
2.AU ISHI MWENYEWE, SIO KOSA KIBIBLIA NA KIKATIBA. TAFUTA BWEGE MMOJA BEBA MIMBA YAKE TUNZA MTOTO MWENYEWE.
3.AU NDOA ZA JINSIA MOJA, WANAWAKE KWA WANAWAKE (UWINGI WA WANAWAKE UNA HALALISHA HILI)
4.AU OLEWA NA WATU WA HUKO KWENU, BABA, BABA MKUBWA, BABA MDOGO,BABU,MJOMBA, KAKA, SHEMEJI.

KINYUME NA HAPO, BASI NA TUENDELEE NA HARAKATI NA MAPAMBANO WAKATI ADUI HATUMJUI
 
Kuna kaukweli eeh au sio mrembo.
Wee ebu tuambie umewapanga wangapi
Kuhusu kuwapanga niachie mwenyew
Ila somtym tufikirie nje ya box ni lifestyle tuloamua kuishi vijana wa sasa hivi walioleewa na wasiolewa lkn tusihalalishe kuwa ndo utamaduni
Kuchapiana kuendelee
 
Kama ni hivi Ndoa zimekuwa ngumu Sana japo kwa nje tunaziona zinapendeza

Kwaiyo mzabzab mkeo ukichapiwa poa tu
Atagongwa sawa vipi kuhusu kukuletea watoto wasio wako ulee vipi kuhusu magonjwa
Mie nachosema ni kwamba siwezi kujidanganya kwamba mke wangu hawezi cheat....mambo ya kuchapiwa hewezi sema haitauma...huo utakuwa uongo. Tena ukikumbuka jinsi ilivyofyatuka na akairudishia mwenyewe kunako mbususu inauma sana.

Mke akicheat mie siwesi samehe namuacha kila mtu aende kivyake.
Wee mandela aliwekwa jela miaka kibao na wazungu akawasamehe. Lakini siku alijua winnie katoa mbususu hakusamehe. So kama mwanamke wee onja de libolo tofauti ila usikamatwe
 
Kuhusu kuwapanga niachie mwenyew
Ila somtym tufikirie nje ya box ni lifestyle tuloamua kuishi vijana wa sasa hivi walioleewa na wasiolewa lkn tusihalalishe kuwa ndo utamaduni
Kuchapiana kuendelee
Mie wananwake kama wewe ndio nawapendaga....kama alivyosema Mamy K mwanamke mafiga amatatu.

Huwezi fight nature bwana, mwinyi alishasema vijana wanalataka wazee wanapataka.
 
Mie nachosema ni kwamba siwezi kujidanganya kwamba mke wangu hawezi cheat....mambo ya kuchapiwa hewezi sema haitauma...huo utakuwa uongo. Tena ukikumbuka jinsi ilivyofyatuka na akairudishia mwenyewe kunako mbususu inauma sana.

Mke akicheat mie siwesi samehe namuacha kila mtu aende kivyake.
Wee mandela aliwekwa jela miaka kibao na wazungu akawasamehe. Lakini siku alijua winnie katoa mbususu hakusamehe. So kama mwanamke wee onja de libolo tofauti ila usikamatwe
kumbe unajua km inauma unapenda kujifariji tu
 
Mie wananwake kama wewe ndio nawapendaga....kama alivyosema Mamy K mwanamke mafiga amatatu.

Huwezi fight nature bwana, mwinyi alishasema vijana wanalataka wazee wanapataka.
Mafiga matatu siyawezi naogopa kupigwa balaa kuumiza sehemu za siri bilasababu Ila ukihama lazima mwenzio ahamie
 
kumbe unajua km inauma unapenda kujifariji tu
Lini jmani nimesema kuwa it doesnt hurt? Inauma sana tuu ila ukiwa umeshatarajia kuwa mrembo wako anaweza gegegedwa na mwanaume mwengine basi machungu hayawezi kifikia hatua ya kuweza kuchukua maamuzi ya kuua
 
Back
Top Bottom