Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Hospital za serikali nyingi huduma ni hizo sio huko moro tu mpaka inaonekana kama kuzaa salama ni muujiza kumbe sio



Mimi naona bora ufokewe uwe ngangari kulikoni kudekezwa unazembea na hutoki mapema mle
 



MIMI nafikiri huuu UZI mngetiririkia Kwenye group LA wasapts huku Sisi wengine haturuhusiwi Sana kujua nn kinaendelea Leba Ni desturi zetu waungwana huku afrika kujadiri vitu vya Reba ni mwiko
 
Hakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
kama polisi ukifika kaunta yao utsema mimi ndio leo nafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake mna roho mbaya sana then wengi huwa wanazuga wanapendana kumbe unafki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza naingia labour ward nlikutana na case (cord prolapse) mtoto alipotea nilitoka pale nkampgia Mamangu mzazi nkamshukuru sana pili nkajua kwenye sekta ya afya to be a doc tu haifanyi kuona wengne hawasave maisha manurse nao watu muhimu sana ingawa wana roho za ujasiri mno Kila napoona mama kja huwa namshukuru Mungu kuumbwa mwanaume hawa knamama sometaim acheni watuvuruge tu kaz wanayofanyaga na manurse labour ni siri baina yao
Aisee bila mwanamke tusingekuepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni na kula kwa jasho maisha yoote chini ya jua

narudia tena achaneni na kula kwa jasho
 
Kama tungepewa huo uchungu, nasi tungetumia maneno kama yako aya ya mwisho kwakuwa ingekuwa lazima. Kwn unafikiri wanaume hatuna yanayotusibu kama hilo la uchungu? Neno kula kwa jasho lisikie tu mdada, nyie jasho lenu labda kutembeza bidhaa mtaa kwa mtaa. Mnazaa sisi tunatafuta ngoma droo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…