Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Mnakuza mambo bwana hata sie tunataabika kivyetu
 
Sasa hv technologia zimeadvance na hospital za kumwaga, je mama zetu enzi za Mwalim walikua wakijifungulia wapi? Na hawalalamiki kama nyinyi.. Nyie wanawake wa kisasa mbona mnataka kuheshimiwa tu wakati nyie wenyew hamna heshima..
 
Walikuwa hawalalamiki au wewe hukuwahi sikia maongezi yao?
 
Aisee hii kitu huwa nasikia uchungu wake ni kama ukatwe visu mara mia ilhali upo hai

Kweli ndio maana laana ya Mama ni kali sana maana so kwa uchungu huo
Hivi hawa wanao watukana na kuwatelekeza mama zao huwa wanafikiria nini aisee
MUNGU WABARIKI KINA MAMA WOTE DUNIANI
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…