Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,560
Ni kweli, huu ni muendelezo tu. Haya yote tu ayojadili hapa ni muendelezo tu. Alianza bibi yetu Hawa, akimlaumu nyoka, Adam nae akaona isiwe tabu akamlaumu Hawa...kweli sasa naelewa where all this b.s comes from..
Khaaah haya mambo bwana ukiyafikiria sn unaona kabisa chanzo chake ni.... uwii anisamehe jamani, maana nyoka nae hakuanzia eden kumbuka!!
Unabii hauna budi kutimia ila ole wake autimizae, we are suffering the fate.
All in all we still have chance, tumtegemee tu yeye mwenye enzi atusaidie ktk kila jambo.