Okay alikosea, lakini she should teach that lunatic a lesson. Like how could she let it pass just like that?
Go burn that house down
tena jamaa alipata mwanamke mwema sana. Kitendo cha mwanamke kuchomoa pesa yake kwaajili ya mwanaume huyo ni wakumheshim. Ningekuwa mm hata kama sikumpenda ningeilazimisha nafsi ingempenda tu....
Maana wanawake wa siku hizi kubabake duuh!
Mda wote wanawaza kukupiga mizinga tu yaan ni majambaz sugu yasiyotumia bunduki wala jambia ila yanatumia tabasam feki na love fake..
Huyo jamaa kuna chamoto kipo mbele yake lakn yeye hajakishtukia tu.
The best revenge is served when cold...
Ningekuwa mimi ningeendelea na maisha yangu huku nikimpoozea revenge yake....atainywa when it is chilled
Huyu dada mwenye mtoto mmoja na mimba ya miezi 6, dada huyu kabla hawajafunga ndoa mmewe alikuwa hayupo vizuri kipesa, kutokana na hilo suala la ndoa lilikuwa linapigwa danadana siku hadi siku, kwakua bidada alikuwa anafanya kazi akaamua kuchukua mkop kazini kwake, akampa kiasi bwana yule akamlipie mahari, na nyingine yakuanzishia vikao, kweli mambo ya yakaenda bidada akajigharamia kila kitu hadi pete alinunua yeye.
Baada ya ndoa bidada akabeba mimba ya kwanza akazaa, na mwaka huo ndio mbwembwe zilianza, bidada akikosea kidogo tu, mwanaume anamwambia "kwanza wewe ulinilazimisha kukuoa ndio maana ulijitolea mahari" mwanaume harudi nyumbani hata siku tatu, bidada anavumilia tu, akashika mimba nyingine ina miezi 6 sasa, mwezi uliopita bidada kagundua mwanaume amejenga mbezi mwisho baada yakupekua msg za mmewe, hapo wao wamepanga, akamuuliza mwanaume akamwambia "kweli nimemjengea yule ndio chaguo langu. bwana ndani ya wiki kabeba nguo zake kahamia huko makao mapya.
Mwanamke kaachwa na na mtoto na mimba na deni juu la mkopo, analia anatamani kujiua, anahangaika basi atoe mimba ili abaki na mtoto mmoja.
- Wadada usikimbilie kuolewa tu kwasababu mtaani watu wanaolewa, olewa kwasababu umepata mtu sahihi wakuishi nae, ambaye anafurahi uwepo wako moyoni mwake.
Huwa najiuliza sana namna mwanaume anavyoanza kupiga mzinga kwa manzi..na jinsi anavyoipokea hiyo pesa.
Wanaume ni wabinafsi sana, inahitaji akili ya ziada kuishi nae...Dada asitoe mimba, alee tu...malipo duniani iko siku atarudi kwa magoti....Aombe Mola ampe subira...ndo ukubwa.
Apologise lady sio kila anaevaa suruali na kukojoa huku amesimama ni mwanaume mengine mashetani tu....... mwanaume anaejitambua hawez fanya huo ujinga!!!
Usiseme wanaume sema binadamu
Kwani wewe hujui 1+1=3 uki do bila ndom???????Waambie pia waache kutubambikia mimba ili tuwaoe!!
ww vp hebu futa kauli yako. Sema baadhi ya wanaume haa! Sijui umekula maharage ya wapi ww.
Lakn huyo jamaa mwache ajifanye mjanja ipo sku hayo machozi ya mwanamke aliyemtelekeza yatamrudia.
Bidada hakuwa na lengo baya wala sio kwamba alijipendekeza bali n mapenz ya kweli kwa jamaa.
Kama huyu jamaa hakuwa tayar kuishi naye kwann alikubali kumtia hasara kiivyo?
ingekuwa powa sana kama mbabe wa kivita angepita hapa halafu ajilinganishe yeye na huyo dada' angepata uzani flan. Teh teh
mi napita tu 🙂....
Kwani hiyo nyumba ipo kwenye jina la mwanaume au huyo mwanamke mwingine?
Naweza isimamia ugumu uko wapi ukiamua? hakuna lisilowezekana.Hiyo para ya mwisho ni ushauri mzito ambao kwa nature ya wanawake sidhani hata wewe mwenyewe mleta uzi unaweza kusimamia.
Huyo dada pole yk kwakweli kubwa amtangulize mungu na amwombe sana mungu amlinde maana dah inatia simanzi,lkn ht cc wanaume wengi kwass tuna matatizo,tumegeuka wanaume km mabinti,tunapenda sana vya bure na mteremko,tunashindwa kutimiza majukumu yetu km wanaume ndo maana wengi wetu tunapenda kulialia
Na nyie acheni kuwa cheap,cc zamani kupata m,mke ilikuwa shughuli pevu,sasa sk hz lol...mmekuwa warahisi mno
kwa hiyo wwww unaamini hiyo stori., humu ndani. kuna. wanawake wamejikatia tamaa kazi yao kuwachuuza wenzao, kuwa makini usichangie usichokijua
Kwani kumchangia pesa ndio lazima akuoe? Kama unatabia mbovu alafu unajificha kwenye kumchangia pesa utaishia kulalamika
Kuna sababu nyingne za mtu kumuoa mtu, sio tuu kunilipia au kunihonga
Acheni kujidanganya
Mkuu mi nimeolewa na mitoto mikubwa juu. Niliongelea uzoefu wangu katika mahusiano ya dizain hiyo. Pia naungana nawewe Kama mtu anatabia ambayo mbaya aachwe tu, ila ni vizuri kuachana ki starabu, wahusika wakae na kuelezana tofauti zao, sio kuachana kinyama Kama huu izi unavyo muongelea jamaa. Au Mwanaume anajua kabisa kua huyu dada hanifai ila madam anapesa wacha nimtumie tu. maumivu ya kuachwa ni makali jamani.
dogo ungesoma sana ungekuwa mwendawazimu!..una akili kupita kiasi!
Upiversity,and 10000000 matured men like this!