Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

Teh teh teh na mimi nilijua tu, hiki kisanga kimekushushua!! maana hii imeka straight in favour of our point with Bavaria
Nadhani umeona wazi mwenyewe hii wrong choice plus desperate ya ndoa ilivyomkosti huyu dada. Najua unaelewa sema hutaki kukiri hadharani tu, umeamua kufa na tai yako shingoni!!

Hata hivyo utaelewa tu hata kwa lazima maana hamna namna. Heaven Sent uwe unaniita ukiona visanga vya aina hii, atoto roho inamsuta hawezi niita tena.

Aaah wapi bado sanaaa, hi case moja haijumuishi ndoa zote, maana sio wote hufanya kama alivyofanya huyu, tatizo langu na wewe unalijua, shida sijui kwanini umekuwa mgumu tu kuadmit tu!! Hapa wote wanalaumiwa, mwanamke kwa kuchagua kulazimisha ndoa, na mwanaume kwa kuchagua kuolewa badala ya kuoa, si kwasababu ameumizwa mwanamke basi yeye ndiye mwenye makosa na kwamba mwanaume yuko right. Hili aisee bora tu tukubali kutokukubaliana my kaka maana kamwe siwezi kukubali hii lawama ibakie kwetu pekee, never.
 
Last edited by a moderator:
Mchepuko siyo dili dadaangu atoto, nilikuwa siasani ku-update list yangu ya watu nitakaowapepea baada ya Oct 25, leo nimemuongeza kwenye list best yangu nifah teh teh teh

Hahahaaaa! Hebu ngoja niangalie kichinjio changu maana isije ikawa washanihujumu, maana cant wait.
 
Last edited by a moderator:
Aaah wapi bado sanaaa, hi case moja haijumuishi ndoa zote, maana sio wote hufanya kama alivyofanya huyu, tatizo langu na wewe unalijua, shida sijui kwanini umekuwa mgumu tu kuadmit tu!! Hapa wote wanalaumiwa, mwanamke kwa kuchagua kulazimisha ndoa, na mwanaume kwa kuchagua kuolewa badala ya kuoa, si kwasababu ameumizwa mwanamke basi yeye ndiye mwenye makosa na kwamba mwanaume yuko right. Hili aisee bora tu tukubali kutokukubaliana my kaka maana kamwe siwezi kukubali hii lawama ibakie kwetu pekee, never.

Sawa sawa hapo kwa red tuconclude hivyo
 
Cc mito
Hapo kakubali ni wanandoa, na sidhani kama wanandoa ni wanawake tu!!
Uuuuphhhhhhhh!! Ukibisha tena una lako jambo.

Wanaume ni wakorofi by nature. Yani sisi ni 'pain in the ass' tu.
Hata tukiwa kwenye tatizo hatusemi tunafarijiana na kupeana kiburi.
Na wanaume wanaua ndoa zao kwa kuwa na mob mbaya ya kupeana ushauri au kwa kuangalia jinsi wenzake wanavyofanya.
Tuzoeeni tu.
 
Kumbe hilo mwalitambuaaaa!!! Ila makusudi tu eti? Unajua mnatake advantage ya udhaifu na wema wetu kwenu, ila kuweni na huruma jamani(usiseme tunapenda kulia lia na kuonewa huruma ndivyo hata sisi tulivyo, mtuzoee). So kuvumiliana muhimu.
 
Cc mito
Hapo kakubali ni wanandoa, na sidhani kama wanandoa ni wanawake tu!!
Uuuuphhhhhhhh!! Ukibisha tena una lako jambo.

Sasa nimeelewa sehemu tunapofishana kiswahili. Nimekusoma hapa ndo nimegundua tunapopishana 'Hapa wote wanalaumiwa, mwanamke kwa kuchagua kulazimisha ndoa, na mwanaume kwa kuchagua kuolewa badala ya kuoa, si kwasababu ameumizwa mwanamke basi yeye ndiye mwenye makosa na kwamba mwanaume yuko right.'

Point ni kwamba mwanamke stands a better chance of avoiding picking garasa. Sawa garasa naye ni wa kulaumiwa kama unavyosema, lakini nijuavyo mimi garasa anakuwa na motives tofauti kabisa. Anakuwa hajafika 'kigoma' bado, anakuwa kama mpitaji fulani hivi mario si mario, pretender si pretender. Kifupi unakuwa umemkona kiaina hadi anakubali kuingia ndoani ilihali akijua yeye si mkaaji. Hiki ndo kilichotokea kwa huyu mdada.

Sasa linapokuja kubuma ndo maana mimi namtumia lawama kwanza mwajiri (mke), kwamba hakukagua vizuri application na cv ya jamaa, hakumuitavyuu vizuri jamaa kujua ni hubby material au mbabaishaji tu.

Haya kidogo tunaelekea kuelewana sasa!!
 
Kumbe hilo mwalitambuaaaa!!! Ila makusudi tu eti? Unajua mnatake advantage ya udhaifu na wema wetu kwenu, ila kuweni na huruma jamani(usiseme tunapenda kulia lia na kuonewa huruma ndivyo hata sisi tulivyo, mtuzoee). So kuvumiliana muhimu.

Hakuna kitu kama hiko.
Msitake sisi tuwawaze nyie mnachowaza.
 
Hahahaaaa! Hebu ngoja niangalie kichinjio changu maana isije ikawa washanihujumu, maana cant wait.

Ngoja na wewe nitakuchungulia kule siasani nijue kama nikuweke kwenye list yangu ya wapepeaji au wapepewaji loh
 
Aiseeii kwahiyo ni vyema tuombeane umaskini ili amani iwepo.

Hilo la umaskini sio hoja, kikubwa ni kupendana tu, maana kuna watu walijilazimisha kuishi pamoja bila malengo ya ndoa, sasa kama mtu ulifuata pesa kwa mtu halafu ikitokea siku umeshika zako maana yake utakuwa umekamilisha hitaji lako, hivyo hali itajirudia kama mwanzo tu.
 
Hilo jamaa hilo hata huruma halina,daa hata watoto wake halifikilii linawaza dudu tu.shenz typeee
 
huyo jamaa ana matatizo tena sana,such unappreciative man! a real beast.
 
That very bad hakustahili kufanyiwa hivyo, pole zake labda jamaa analipa kisasi fulani.
 
Ngoja na wewe nitakuchungulia kule siasani nijue kama nikuweke kwenye list yangu ya wapepeaji au wapepewaji loh

Hahahaaaa! Mie huko walaaa sikanyagi tena, watu full mihemko, nasubiri tu nimsindikize raisi wangu ikulu maana ashashinda, so mie siku hiyo ni full viduku, labda unipepee kuondoa joto la kudukua.
 
Hahahaaaa! Mie huko walaaa sikanyagi tena, watu full mihemko, nasubiri tu nimsindikize raisi wangu ikulu maana ashashinda, so mie siku hiyo ni full viduku, labda unipepee kuondoa joto la kudukua.

Hahaaa we basi kama mimi sista
 
Hii dunia ina vimaajabu vingi balaa mpaka mtu ufe utakuwa umeona na kushuhudia vingi

bwana niongoze nimalize mwendo salama
 
Mwambie asitoe mimba.ntalea mimi huyo mtoto tafadhali
 
Back
Top Bottom