Wanawake this is the harsh reality

Hivi kumbe uko vizuri hivi mdau, hongera sana
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
Nitakusearch nikusome vizuri kumbe, siyo kwa madini haya leo
 
Anaemiliki huyu mtu aoe haraka , kuna mwanamke hapa
Yaan sikuwa namchukulia hivi hata mimi.

Ila nilianza kumuelewa elewa jana kwenye ule uzi wake alivokuwa anatudodosa wanaume kuhusu.....
Alikuwa anauliza kwa adabu fulan hivi
 
Word.. upo wap nikupe windhoek baridiiiiìi
 
Mimi mwenyewe nimechoka kwa kweli khaaaaa
 
Kimsingi heshima ni kiunganishi kikubwa sana baina ya wanyama, binadamu wote hata kazini, barabarni, kwenye familia, bus n.k. Panapoishi watu zaidi ya wawili yawapasa kuheshimiana.

Tunamfundisha mwanamke heshima tunamuacha mwanaume kwenye mafundisho haya tunakosea. Mwisho tutakuwa na familia zenye mama mwenye heshima ila baba ni mkiritimba, hashauriki, anafanya lolote na haulizwi, anasaliti ndoa ila anapaswa aulizwe kwa unyenyekevu wakati kaumiza mwenzake.
Madhara yake ni kuzalisha vizazi vya wanawake wenye visasi kulipiza kulingana na maumivu waliyoyapitia muda mrefu.

Kina baba, kina mama, watoto hebu tuyeyushe mioyo yetu! Tujaliane, tuombane radhi tunapokoseana, tusichepuke, tusiwe na masiri mazito mazito yakuangamiza familia.
N:B. Familia lazima iwe na kiongozi mmoja ambaye anatambulika ambaye atatoa kauli ya mwisho baada ya kusikiliza kwa makini maoni ya mwezake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…