Wanawake tamaa na umalaya uwamaliza.

Wanawake tamaa na umalaya uwamaliza.

Kwanini iwe tofauti ambacho hamjui wanawake tuko juu sexually kihisia kuliko nyinyi shidayetu ni moja kupuuzia lkn mwanamke akiamua akili yake ifocus na ngono ni hatari kuliko mwanaume
Inawezekana ikawa hivyo ndio maana nikasema kwenu ninkawaida kwakua uwezo wa mwanamke uko juu kujizuia na kupuuzia hisia za ngono tofaut na mwanaume. Japo wote wana hisia
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa wanawake wa kisasa. Mmekalilishwa usawa wa kijinsia na mnataka kuu-apply kwenye kila kitu bila kuangalia tofauti za kijinsia na misingi inayojenga mahusiano. Mnapenda sana usawa lakini hamtaki wajibu. Leo mkiambiwa muwauhudumie wanaume makazi, chakula, mavazi na mahitaji yote kwa malipo ya wanaume hao kuwa waaminifu mtakubali?

Katika mahusiano mwanaume ndie mwekezaji mkubwa na uwekezaji huo mwanamke haupewi bure, utawajibika kuulipa kupitia utiifu na uhaminifu. Ni dhahiri anaetumia nguvu au gharama kubwa ku-maintain mahusiano ndie anakua disappointed akisalitiwa.

Hivyo hivyo kwenye kuzaa nje ya ndoa kwa mwanaume na mwanamke kumbambikia mtoto mwanaume. Mwanaume atabeba gharama za malezi ya huyo mtoto wake wa nje ni tofauti na mwanamke ambae atambebesha mwanaume gharama za malezi ya mtoto ambae sio wa mwanaume uyo.

Hii ndio sababu ya kwamba kuchepuka na kuwa na mtoto nje athari na maumivu yake ni tofauti kwa mwanaume na mwanamke. Athari na maumivu kwa mwanaume ni makubwa zaidi
Mimi sipo kwenye usawa wa kijinsia sio mambo yangu Sina ujuzi nayo nazungumzia mahitaji ya mwanamke kindoa ni kuingiliwa na mumewake miezi mitano nawana afya njema huoni km ni tatizo

Na Wala sijasema alivofanya ni sawa
 
Inawezekana ikawa hivyo ndio maana nikasema kwenu ninkawaida kwakua uwezo wa mwanamke uko juu kujizuia na kupuuzia hisia za ngono tofaut na mwanaume. Japo wote wana hisia
Kama ni hivo haikuwa sawa yeye kuchepuja lakini mumewake alikuwa anatarajia nini?
 
Mimi sipo kwenye usawa wa kijinsia sio mambo yangu Sina ujuzi nayo nazungumzia mahitaji ya mwanamke kindoa ni kuingiliwa na mumewake miezi mitano nawana afya njema huoni km ni tatizo

Na Wala sijasema alivofanya ni sawa
Haujasema moja kwa moja kwamba unakubaliana na kilichofanywa na mwanamke alieelezewa kwenye post lakini indirectly unataka kusimama kama advocate wa uyo mwanamke kwa kuhalalisha alichokifanya au kusawazisha hukumu iwe pande zote mbili, kwa kujenga hoja kwamba kuna uwezekano na mwanaume pia alimsaliti mkewe katika iyo miezi mitano ambayo walikua mbalimbali.

Ukiichimba hoja yako unarudi kule kule kwenye usawa wa kijinsia kwamba kama mawazo yako yatakua ukweli kwamba mwanaume alichepuka basi ni na mwanamke asionekane mbaya kufanya hivyo pia kwa sababu wote wana hisia za kimapenzi.
 
Kama ni hivo haikuwa sawa yeye kuchepuja lakini mumewake alikuwa anatarajia nini?
Kwenye kuwaza matarajio ya mtu asiye wewe hapo tutakua unfair ku judge.na is not wise. Kwakua inaonekana hiyo mirad wanayo sio tunleo huko Ug, maana yake hilo suala halikua geni
 
Ni michache kwa hali ya libido nyinyi mko juu kuliko sisi Yani Ile tamaa na nguvu ya kufanya ngono ila hali ya kiasili ya msisimiko sisi tuko juu kuliko nyinyi na ndio maana mwanamke ukimgusa gusa tu rahisi kusex nae sabbu tuna his msisimko zaidi kuliko nyinyi hapa ni rahis kumtamanisha mwanamke kufanya mapenzi

Ninachotaka kusema wapeni hakizao😀😀
Kwa hiyo unachotak kusema wanawake wa siku hizi wanalala na mwanaume yoyote ilimradi wameguswa sehemu zenye hisia?
 
Hapana nimezungumzia mahitaji ya kihisia sio rahis sabbu nilielezea mwanzo kuwa Kuna kupuuzia pia kuvumilia pia
 
hata ukipewa miaka mia mbili mingine zaidi, hamna kitu cha maana zaidi utafanya,....so, ukifika muda wa kufa, we kufa tu bila woga wala hofu, we jifie zako kwa amani,... habari za umalaya, uzinzi, watoto, wizi, aibu ,..waachie wao huko huko Duniani,...wewe sio wa kwanza wala wa mwisho,....
 
Hapana nimezungumzia mahitaji ya kihisia sio rahis sabbu nilielezea mwanzo kuwa Kuna kupuuzia pia kuvumilia pia
Maana yake mwanamke anapolala na mwanaume anakuwa amedhamiria si ndio? na hafanyi kwa kupunguza ila anafanya kwa mapenzi yote, hapo tuko sawa?
 
Kwenye kuwaza matarajio ya mtu asiye wewe hapo tutakua unfair ku judge.na is not wise. Kwakua inaonekana hiyo mirad wanayo sio tunleo huko Ug, maana yake hilo suala halikua geni
ni sahihi kuhukumu ubaya wa mtu ambae amelala hatujui alikuwa na nn moyoni na why alifikia kuchepuka nayo sio sawa japo alichofabya ni makosa
 
Maana yake mwanamke anapolala na mwanaume anakuwa amedhamiria si ndio? na hafanyi kwa kupunguza ila anafanya kwa mapenzi yote, hapo tuko sawa?
Uzinzi ni uzinzi hakuna kuupaka rangi hakuna aliyesawa kwani wote hampat utamu wakat mnaenda kuzini?
Mwanaume akichupka sio sawa na mwanamke akichepuka sio sawa muhimu kama wanandoa timizianeni mahitaji yenu
 
Unajua kuwa mwanamke akizini anabomoa familia? kuliko mwanaume?
 
Mimba haijamuua huyo ni mapenzi ya Mungu siku zake zilishatimia
Hakuna mapenzi ya mungu, ni wakati wake umefika..
Hili suala la wakati umefika ukilifikiria kwa mapana unakuja kukubaliana nalo kiimani, kama wakat wake bado ungeshangaa angepona, angevuja damu mixer kulazwa icu lakini anarudi mtaani anadunda fresh tu.
 
Haujasema moja kwa moja kwamba unakubaliana na kilichofanywa na mwanamke alieelezewa kwenye post lakini indirectly unataka kusimama kama advocate wa uyo mwanamke kwa kuhalalisha alichokifanya au kusawazisha hukumu iwe pande zote mbili, kwa kujenga hoja kwamba kuna uwezekano na mwanaume pia alimsaliti mkewe katika iyo miezi mitano ambayo walikua mbalimbali.

Ukiichimba hoja yako unarudi kule kule kwenye usawa wa kijinsia kwamba kama mawazo yako yatakua ukweli kwamba mwanaume alichepuka basi ni na mwanamke asionekane mbaya kufanya hivyo pia kwa sababu wote wana hisia za kimapenzi.
Wewe ndo umestafsiri hivo lakin mambo hayako hivo now watu wanaishi tu ukija kuchunguza maisha Yao ukute kunamenginzaiid ya hayo ninachosema kumuattack marehemu sabbu madhaifu na makosa yake Yako wazi bila kujua uhalisia wa mambo ndio kitu kibaya
Hakuna mwenye haki ya kuchepuka
 
ni sahihi kuhukumu ubaya wa mtu ambae amelala hatujui alikuwa na nn moyoni na why alifikia kuchepuka nayo sio sawa japo alichofabya ni makosa
Tatizo ni kwamba here the fact you cant ignore "end justify the means". So kwa kuzingatia kuwa tayar alikua committed kwenye ndoa, haijalishi alikua na sababu zipi, we can judge she was wrong. Hakuna justifiable reasons za ku cheat. Hazipo mkuu ,especially kwake na kwa ushahid wa mazingira kukingana na maelezo ya mleta mada.
Maana kama uwezo wa kuzalisha mumewe anao so ukitaka kuleta sababu za kuridhishwa au lah, hizo ni fallacy cz kuridhishwa au lah hizo ni relative concepts, cant prove that.
 
Unajua kuwa mwanamke akizini anabomoa familia? kuliko mwanaume?
Familia zote zingwbomoka sababu always tunaona wanazini me na ke Tena Kwa usawa shida yenu ni kuamini mwanamke mvumilivu na matendo mabovu ila uhalisia ni wanachoka na wao wanapita njia zao

Mm kama mwanamke niseme ukweli kusalitiwa kunauma na maumivu yake hayaishi na kibaya ukimsaliti mkeo akijua ni umeshamshusha confidence kutoka 100 had 0 kinachofata ni kupretend kuwa kasamehe na upendo ila ukweli anatafuta mtu wa kumpa disha confidence ambayo wewe umeshusha
 
Tatizo ni kwamba here the fact you cant ignore "end justify the means". So kwa kuzingatia kuwa tayar alikua committed kwenye ndoa, haijalishi alikua na sababu zipi, we can judge she was wrong. Hakuna justifiable reasons za ku cheat. Hazipo mkuu ,especially kwake na kwa ushahid wa mazingira kukingana na maelezo ya mleta mada.
Maana kama uwezo wa kuzalisha mumewe anao so ukitaka kuleta sababu za kuridhishwa au lah, hizo ni fallacy cz kuridhishwa au lah hizo ni relative concepts, cant prove that.
Sawa kucheat ni kucheat tukubaliane hakuna aliesahihi au ana ruhusa ya kucheat lakin mahitaji ya kihisia yatimizwe pia ndio msingi wa ndoa nawatu waweke wazi mahitaji Yao km Kuna nafas basi mambo yawekwe sawa
 
Mungu alishapanga kila kitu mpaka uzinzi alishapangiwa kwa hio huwezi kukimbia your destiny
Sasa kama ni hivi Kuna maana gani ya watu kusali na kuomba ulinzi wake ikiwa hatabadili chochote.
 
Sawa kucheat ni kucheat tukubaliane hakuna aliesahihi au ana ruhusa ya kucheat lakin mahitaji ya kihisia yatimizwe pia ndio msingi wa ndoa nawatu waweke wazi mahitaji Yao km Kuna nafas basi mambo yawekwe sawa
Umekiongea kitu sahihi.
 
Familia zote zingwbomoka sababu always tunaona wanazini me na ke Tena Kwa usawa shida yenu ni kuamini mwanamke mvumilivu na matendo mabovu ila uhalisia ni wanachoka na wao wanapita njia zao

Mm kama mwanamke niseme ukweli kusalitiwa kunauma na maumivu yake hayaishi na kibaya ukimsaliti mkeo akijua ni umeshamshusha confidence kutoka 100 had 0 kinachofata ni kupretend kuwa kasamehe na upendo ila ukweli anatafuta mtu wa kumpa disha confidence ambayo wewe umeshusha
Sasa kama unafikiri ni hivyo, kwanini mwanamke alihangaika kuanza kuitoa mimba au kulazimisha aende aliko mumewe?
 
Back
Top Bottom