Wanawake tamaa na umalaya uwamaliza.

Wanawake tamaa na umalaya uwamaliza.

Kweli kabisa, wanaume mkienda kusaka pesa nendeni na wake zenu
Hawawezi kwenda na wake zao maana huko waendapo wana mpango wa kando, ni kama wanaenda kubadili mboga. Ubaya ubwela..
Tatizo la huyo maza ni kushika mimba.
 
Siku hizi watu wanajitahidi wa cheat ili waende na wakati
Mapenzi yanaumiza sana nikiwaza vita ya nafsi nayopigana nayo Sasa 🙏🙏🙏
 
Sheria ya ndoa na mahakama ya familia zisiposukwa upya ili kuwawajibisha wanawake haya mambo yataendelea daima.

Embu fikiria hapo mume angekuwepo nyumbani angebambikiwa iyo mimba, angerudi na kumpa talaka mkewe wangegawana mali 50/50.

Sheria ya ndoa ipitiwe upya mwanamke aondolewe favoritism hata pale ambapo yeye ndie mwenye makosa. Utaratibu wa kupima DNA uwe wa uwazi, ukweli na shurti ya kisheria mara baada ya mtoto kuzaliwa. Automaticaly wanawake watarudi kwenye mstari


Mkuu me naona hapa tutakuwa tunapambana na matawi wakati mzizi wa haya mambo Bado ungali hai hivyo ni ngumu sana kumaliza tatizo kwa kubadilisha hizo kanuni


Msingi wa NDOA yoyote ukiwa ni UPENDO hiyo ndoa kamwe haiwezi kuvunjika wala hakuna chochote kinaweza kufanikiwa kuwatenganisha wahusika kwani UPENDO ni mwenyezi Mungu


Lakini msingi wa NDOA ukiwa ni MAPENZI hakika hiyo ndoa ni ngumu mno kuwepo B'se hu msingi ni mbovu na dhaifu sana kwa ndoa kujengwa na kudumu, msingi wa Ndoa yoyote ukiwa ni MAPENZI mwisho wake ni talaka na maumivu na mambo kama haya
 
Mkuu me naona hapa tutakuwa tunapambana na matawi wakati mzizi wa haya mambo Bado ungali hai hivyo ni ngumu sana kumaliza tatizo kwa kubadilisha hizo kanuni


Msingi wa NDOA yoyote ukiwa ni UPENDO hiyo ndoa kamwe haiwezi kuvunjika wala hakuna chochote kinaweza kufanikiwa kuwatenganisha wahusika kwani UPENDO ni mwenyezi Mungu


Lakini msingi wa NDOA ukiwa ni MAPENZI hakika hiyo ndoa ni ngumu mno kuwepo B'se hu msingi ni mbovu na dhaifu sana kwa ndoa kujengwa na kudumu, msingi wa Ndoa yoyote ukiwa ni MAPENZI mwisho wake ni talaka na maumivu na mambo kama haya
Hakuna kipimo cha kuupima huo upendo. Hata mtu mwenye ajenda mbaya atakujia kwa sura ya malaika. Hata hivyo tukiweka utaratibu ambao utawadhibiti wanawake kutumia favoritism wanayopewa kisheria kuwafanyia ubaya wanaume haimaanishi ya kwamba watashindwa kuwa na huo upendo.

Kwaiyo hoja yangu ipo pale pale kwamba masilahi ya wanandoa wote yalindwe kwa usawa ili mmoja wao akiwa na ajenda mbaya basi mwingine abaki kuwa salama.

Fikiria mwanamke anaweza kuamka tu asubuhi na kudai talaka kwa sababu mumewe ni mwema sana na akapata mgao wa mali, child support na divorce alimony. Fikiria mwanamke anaweza kumbambikia mtoto mumewe na vipimo vya DNA vikachakachuliwa kwa kisingizio kwamba yanalindwa masilahi ya mtoto. Huu ni uhuni uliohalishwa kisheria
 
Naomba kuuliza Hao wanaume wasiowakazs wakezao miez 5 huko walipo upwiru wao wanamalizia wapi?
 
Miezi mi 5 kwa wanawake wengi ni kawaida sanaa sana yan tofaut na mwanaume
Kwanini iwe tofauti ambacho hamjui wanawake tuko juu sexually kihisia kuliko nyinyi shidayetu ni moja kupuuzia lkn mwanamke akiamua akili yake ifocus na ngono ni hatari kuliko mwanaume
 
Jana hapa mtaani kwetu tumemzika mmama mmoja mwenye miaka 35 baada ya kujaribu kutoa mimba.

Ni hivi huyu mama alikuwa na mme wake ambaye ni raia wa uganda sasa mme wa huyo dada akaondoka kwenda nyumbani kwao Uganda nadhani kuna miradi yao waliyo kuwa wamewekeza huko hivyo alienda kuisimamia akamaliza miezi mitano.
Kumbe huku nyuma baada ya baba mwenye nyumba kuondoka mwana mke akaanza kukitembeza mwisho wa siku akabeba mimba,na kwa mujibu wa mme wake anadai miezi 4 iliyo pita mke wake alimpigia simu akitaka amfuate huko uganda maana alikuwa amemsi sana nadhani alikuwa anatengeneza mazingira ya kumbambikizia mimba mme wake lakini jamaa akagoma kata kata.

Mwisho wa siku siku za mme wake kurudi zikafika mke si akaenda kuichoropoa hiyo mimba ya unzinzi sasa sijui waliitoa vibaya akawa ameenda nayo kuzimu tumemzika jana ameacha watoto wawili.

Lakini hili tukio limeniacha na maswali mengi sana bila majibu yake.
Swali la msingi ni hivi kama huyu mwanamke alikuwa amesha beba mimba ya mchepuko na zoezi la kumbambikizia mme wake limeshindikana kwa nini hakuitoa mapema badala yake akailea na akaja kuitoa ikiwa imesha komaa?
Mimna ya uchochoro haunaga sumu ila damu ya mtu
 
Kwanini iwe tofauti ambacho hamjui wanawake tuko juu sexually kihisia kuliko nyinyi shidayetu ni moja kupuuzia lkn mwanamke akiamua akili yake ifocus na ngono ni hatari kuliko mwanaume
inategemeana ntu na ntu, kiwango cha ku abstain kat ya mwanamke na mwanaume, kwa mwanamke kiko juu, lakini pia ijulikane mpaka mwanamke analala na mwanaume moyo umehusika, na ijulikane kuwa huwa inachua muda isipokuwa kwa malaya
 
Naomba kuuliza Hao wanaume wasiowakazs wakezao miez 5 huko walipo upwiru wao wanamalizia wapi?
Hili ni tatizo kubwa sana kwa wanawake wa kisasa. Mmekalilishwa usawa wa kijinsia na mnataka kuu-apply kwenye kila kitu bila kuangalia tofauti za kijinsia na misingi inayojenga mahusiano. Mnapenda sana usawa lakini hamtaki wajibu. Leo mkiambiwa muwauhudumie wanaume makazi, chakula, mavazi na mahitaji yote kwa malipo ya wanaume hao kuwa waaminifu mtakubali?

Katika mahusiano mwanaume ndie mwekezaji mkubwa na uwekezaji huo mwanamke haupewi bure, utawajibika kuulipa kupitia utiifu na uhaminifu. Ni dhahiri anaetumia nguvu au gharama kubwa ku-maintain mahusiano ndie anakua disappointed akisalitiwa.

Hivyo hivyo kwenye kuzaa nje ya ndoa kwa mwanaume na mwanamke kumbambikia mtoto mwanaume. Mwanaume atabeba gharama za malezi ya huyo mtoto wake wa nje ni tofauti na mwanamke ambae atambebesha mwanaume gharama za malezi ya mtoto ambae sio wa mwanaume uyo.

Hii ndio sababu ya kwamba kuchepuka na kuwa na mtoto nje athari na maumivu yake ni tofauti kwa mwanaume na mwanamke. Athari na maumivu kwa mwanaume ni makubwa zaidi
 
miez mitano kwa mwanamke kutulia ni michache sana, labda awe malaya
Ni michache kwa hali ya libido nyinyi mko juu kuliko sisi Yani Ile tamaa na nguvu ya kufanya ngono ila hali ya kiasili ya msisimiko sisi tuko juu kuliko nyinyi na ndio maana mwanamke ukimgusa gusa tu rahisi kusex nae sabbu tuna his msisimko zaidi kuliko nyinyi hapa ni rahis kumtamanisha mwanamke kufanya mapenzi

Ninachotaka kusema wapeni hakizao😀😀
 
Back
Top Bottom