KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 458
- 649
🤝Mimba haijamuua huyo ni mapenzi ya Mungu siku zake zilishatimia
🤝Mimba haijamuua huyo ni mapenzi ya Mungu siku zake zilishatimia
Duuuuh! Haaaha Attempt all QuestionsTO DAY TOPIC IS ABOUT KIPOCHI MANYOYA
Define the following
1: Kipochi manyoya ............................................................................................................................................
..................................................................................................................(15 marks)
2: Upwiru...........................................................................................................................................................................
...................................................................(15 marks)
3: Differentiate betwwen Upwiru and nyege(20 marks)
4: Without any mhemko write short massage by using latter above (kwenye uzi)and coclude with possitive judgement.(30 marks)
5: Why womens are toomuch nyonyoko? (20 marks)
..............................END...............................
Sheria ya ndoa na mahakama ya familia zisiposukwa upya ili kuwawajibisha wanawake haya mambo yataendelea daima.
Embu fikiria hapo mume angekuwepo nyumbani angebambikiwa iyo mimba, angerudi na kumpa talaka mkewe wangegawana mali 50/50.
Sheria ya ndoa ipitiwe upya mwanamke aondolewe favoritism hata pale ambapo yeye ndie mwenye makosa. Utaratibu wa kupima DNA uwe wa uwazi, ukweli na shurti ya kisheria mara baada ya mtoto kuzaliwa. Automaticaly wanawake watarudi kwenye mstari
Upotoshaji sio mzuri kama huna elimu ya hilo jamboMungu alishapanga kila kitu mpaka uzinzi alishapangiwa kwa hio huwezi kukimbia your destiny
Sio upotoshaji ni umepewa free will unaelewa maana ya free will Mungu hajakufunga kamba ila ukomo wa wewe kuishi upo palepale rukaruka fanya nini siku yako km ni Kesho umeandikiwa utakufa utakufa tu huwezi kurukaUpotoshaji sio mzuri kama huna elimu ya hilo jambo
Unataka kusema Mwenyezi Mungu alipanga huyo mtu azini?
Tumuogope Mungu
Mama katika jitahada za kunusuru maslahi yake , hakuna mtu anajali ..Kuzaana ni kuleteana tabu , kila mtu anafanya jambo kwa maslahi yake .Nimejaribu kuvaa viatu vya watoto kila wakifiria chanzo Cha kifo Cha mama yao
Mhh nimevivua
Uongo huu, Mungu hausiki na hicho kifoMimba haijamuua huyo ni mapenzi ya Mungu siku zake zilishatimia
Hapa kidogo umerekebisha kauli yako tofauti na awali, awali ulisema Mungu kapangaSio upotoshaji ni umepewa free will unaelewa maana ya free will Mungu hajakufunga kamba ila ukomo wa wewe kuishi upo palepale rukaruka fanya nini siku yako km ni Kesho umeandikiwa utakufa utakufa tu huwezi kuruka
Tatizo sio kuliwa kwa huyo mke Tatizo ni kuliwa ukabebeshwa mimba na bado ukailea ikakuwa mpaka ukasubiri mme wako akaribie kuja ndo uende kuitoa mwisho wa siku ikakuuwa.Ukiachana na umalaya wa huyo mwanamke, huyo mwanaume yeye kwenda Uganda miezi 5 alitegemea mkewe aliwe na nani?
Wafia dini wnafikia hitimisho kizembe sana, eti kuzimu!Sasa wasiokua na dhambi hawakutwi na mauti au
Kwahiyo kama Mungu anampangia binadamu hadi uzinzi ina maana atamuadhibu tena kwa dhambi ya uzinzi aliyoipanga mwenyewe?Mungu alishapanga kila kitu mpaka uzinzi alishapangiwa kwa hio huwezi kukimbia your destiny
ok sawaHilo nimelishuhudia kwa macho yangu aliye fariki tulikuwa tunaishi naye mtaa mmoja.
Monetary doctor njoo kafanye maswali ya moku.TO DAY TOPIC IS ABOUT KIPOCHI MANYOYA
Define the following
1: Kipochi manyoya ............................................................................................................................................
..................................................................................................................(15 marks)
2: Upwiru...........................................................................................................................................................................
...................................................................(15 marks)
3: Differentiate betwwen Upwiru and nyege(20 marks)
4: Without any mhemko write short massage by using latter above (kwenye uzi)and coclude with possitive judgement.(30 marks)
5: Why womens are toomuch nyonyoko? (20 marks)
..............................END...............................
Yeye ndo mumewe huyo dadaWewe hilo jambo alikuhadithia nani?
Mimi hapo sijui ila kashapangaKwahiyo kama Mungu anampangia binadamu hadi uzinzi ina maana atamuadhibu tena kwa dhambi ya uzinzi aliyoipanga mwenyewe?
Jamaa kamaliza miezi 5 na mimba ilikuwa ina miezi 4 na siku kadhaa ina maana huo uzinzi ulio mpa hiyo mimba aliufanya ndani ya wiki mbili tu tangu aondoke jamaa.Aliemuua mwanamke ni jamaa!unakaaje miezi minne bila mechi na mkeo!!?
Labda kama mkeo Kawa jau au umegundua sio mwaminifu unaweza ku shit lakini day to day life unasafirije miezi yote hiyo bila mechi!!?