Mkuu mme alimaliza miezi 5 na mimba ilikuwa ina miezi 4 na kitu ina maana huyo mwanamke alichit siku chache tu baada mme wake kuondoka na inavyo onekana ameanza kufanya usaliti tangu zamani sema mme alikuwa hajui.Kama ni hivo haikuwa sawa yeye kuchepuja lakini mumewake alikuwa anatarajia nini?
Kama ni hivo ni sawa akapumzike Kwa amaniMkuu mme alimaliza miezi 5 na mimba ilikuwa ina miezi 4 na kitu ina maana huyo mwanamke alichit siku chache tu baada mme wake kuondoka na inavyo onekana ameanza kufanya usaliti tangu zamani sema mme alikuwa hajui.
Mtu mzinzi hanaga sababu yeyote ya msingi kufanya uzinzi wake hizo sababu zingine huwa ni visingizio vya kuhalalisha uzinzi wake tu.
Huu mstari wenu wa mshahara wa dhambi ni mauti ni mstari usio ingia akilini kabisaHakuna Mapenzi ya Mungu kwa upumbavu...
Labda mapenzi ya Shetani...
Mshahara wa dhambi ni mauti
Aisee👿 kumbe waliomtoa mimba wasilaumiwe!!Mimba haijamuua huyo ni mapenzi ya Mungu siku zake zilishatimia
Mungu ameamua ugomvi angeshushiwa gunia mbili za mkaa na kuzikwa chini ya migomba ila Mungu kaamulia ugomvi kwa hio ya Mungu mengi ndio hayoAisee👿 kumbe waliomtoa mimba wasilaumiwe!!
Mpango wa M_ngu ni kila mwanadamu aishi hadi miaka sabini au zaidi (Zaburi 90:10)ila drama zetu ndio zinafupisha huo umri, huwezi choropoa tu mimba ukawa salama, unakimbiza gari hovyo ukapona, unakula mbususu hovyo hovyo ukasalimika, unakula mipombe hovyo, unakula madawa ya kulevya. vifo vingi vya umri mdogo ni vya kujitakia.Mimba haijamuua huyo ni mapenzi ya Mungu siku zake zilishatimia
Pole yaoJana hapa mtaani kwetu tumemzika mmama mmoja mwenye miaka 35 baada ya kujaribu kutoa mimba.
Ni hivi huyu mama alikuwa na mme wake ambaye ni raia wa uganda sasa mme wa huyo dada akaondoka kwenda nyumbani kwao Uganda nadhani kuna miradi yao waliyo kuwa wamewekeza huko hivyo alienda kuisimamia akamaliza miezi mitano.
Kumbe huku nyuma baada ya baba mwenye nyumba kuondoka mwana mke akaanza kukitembeza mwisho wa siku akabeba mimba,na kwa mujibu wa mme wake anadai miezi 4 iliyo pita mke wake alimpigia simu akitaka amfuate huko uganda maana alikuwa amemsi sana nadhani alikuwa anatengeneza mazingira ya kumbambikizia mimba mme wake lakini jamaa akagoma kata kata.
Mwisho wa siku siku za mme wake kurudi zikafika mke si akaenda kuichoropoa hiyo mimba ya unzinzi sasa sijui waliitoa vibaya akawa ameenda nayo kuzimu tumemzika jana ameacha watoto wawili.
Lakini hili tukio limeniacha na maswali mengi sana bila majibu yake.
Swali la msingi ni hivi kama huyu mwanamke alikuwa amesha beba mimba ya mchepuko na zoezi la kumbambikizia mme wake limeshindikana kwa nini hakuitoa mapema badala yake akailea na akaja kuitoa ikiwa imesha komaa?